-
Operesheni ya 'Mlingano wa Tatu wa Kuzuia Hujuma' ndani ya ardhi ya Saudi Arabia
Feb 24, 2020 01:09Ijumaa iliyopita ya tarehe 21 Februari, Brigedia Jenerali Yahya Saree, Msemaji wa Majeshi ya Yemen sambamba na kutangaza habari ya kutekelezwa operesheni iliyopewa jina la 'Mlingano wa Tatu wa Kuzuia Hujuma' ndani ya ardhi ya Saudia, alisema kuwa jeshi la Yemen limefanya mashamblizi kwa kutumia makombora dhidi ya taasisi za shirika kubwa zaidi la mafuta la Saudi Arabia la Aramco.
-
Wapalestina kadhaa wauawa shahidi na wanajeshi wa Israel Ukanda wa Gaza
Feb 23, 2020 09:58Askari wa jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel wamewapiga risasi na kuwaua shahidi Wapalestina wawili katika uzio unaotenganisha Ukanda wa Gaza na ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Israel.
-
Kutekelezwa makubaliano ya kupunguza mapigano nchini Afghanistan
Feb 23, 2020 06:59Makubaliano ya kupunguza mapigano nchini Afghanistan yalianza kutekelezwa Ijumaa iliyopita.
-
Umoja wa Ulaya: Tunaunga mkono kuundwa nchi huru ya Palestina
Feb 22, 2020 09:10Josep Borrell, Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesisitiza kuwa, umoja huo unaunga mkono juhudi zinazofanyika kwa ajili ya kuundwa nchi huru ya Palestina.
-
Kuhani mmoja Myahudi-Mzayuni akutana na mfalme wa Saudi Arabia
Feb 22, 2020 03:56Wizara ya Mambo ya Nje ya utawala wa Kizayuni wa Israel imetangaza kuwa, kuhani mmoja Mzayuni ameonana na mfalme wa Saudi Arabia mjini Riyadh.
-
Vikosi vya Yemen vyashambulia tena Aramco ya Saudia
Feb 21, 2020 23:16Kwa mara nyingine tena vikosi vya jeshi la Yemen vimefanya mashamblizi kwa kutumia makombora dhidi ya taasisi za shirika kubwa zaidi la mafuta la Saudi Arabia la Aramco katika mkoa wa Madina, magharibi mwa Saudia.
-
Uturuki yakataa pendekezo la Russia kuhusu Idlib
Feb 21, 2020 23:13Msemaji wa Ikulu ya Rais wa Uturuki amesema kuwa hadi sasa nchi hiyo haijafikia natija ya kuridhisha kuhusiana na pendekezo la Russia la kusitisha mapigano katika mkoa wa Idlib nchini Syria.
-
HAMAS: Wapalestina watekeleze mkakati wa "mapambano jumuishi na ya pamoja" dhidi ya Israel
Feb 21, 2020 11:27Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imewataka Wapalestina wapambane na njama za utawala wa Kizayuni wa Israel kufuatia tangazo la utawala huo haramu la kuendeleza ujenzi wa vitongoji katika eneo la Baitul Muqaddas Mashariki.
-
Maulamaa wa Kiislamu wahimiza kutimuliwa magaidi wa Kimarekani katika nchi za Kiislamu
Feb 21, 2020 03:42Maulamaa wa nchi mbalimbali za Kiislamu waliokutana nchini Yemen wamelaani jinai za Marekani katika eneo la Asia Magharibi na kuhimiza kufurushwa kikamilifu mawanajeshi magaidi wa dola hilo la kibeberu katika ulimwengu wa Kiislamu.
-
Msemaji wa Jeshi: Anga ya Yemen si salama tena kwa ndege za kivita za Saudia + Video
Feb 21, 2020 03:12Msemaji wa Majeshi ya Yemen amesema kuwa, sasa ndege za kivita za wavamizi wa nchi hiyo hasa Saudi Arabia hazina usalama tena katika anga ya Yemen baada ya kuzinduliwa mifumo mipya ya ulinzi wa anga wa nchi hiyo.