-
Watoto 19 wa Yemen ni miongoni mwa waliouawa katika shambulizi la anga la Saudia
Feb 20, 2020 23:12Umoja wa Mataifa umesema watoto 19 ni miongoni mwa makumi ya watu waliouawa katika shambulizi la anga la hivi karibuni la muungano vamizi wa kijeshi wa Saudi Arabia dhidi ya Yemen.
-
Changamoto za Mohammed Tawfiq Allawi katika kuunda baraza jipya la mawaziri nchini Iraq
Feb 20, 2020 04:19Licha ya kupita siku 20 tangu Mohammed Tawfiq Allawi atangazwe kuwa Waziri Mkuu Mpya wa Iraq, lakini hadi sasa hajaweza kutangaza baraza lake la mawaziri.
-
Mwakilishi wa UN katika masuala ya Syria atoa wito wa kusimamishwa vita Idlib
Feb 20, 2020 04:18Mwakilishi maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Syria ametoa wito wa kusimamishwa vita mara moja katika eneo la Idlib huko kaskazini mwa Syria.
-
Seneta Sanders: Viongozi wa Saudi Arabia ni 'wauaji na majambazi'
Feb 20, 2020 00:54Seneta wa Marekani, Bernie Sanders anayeongoza katika kinyang'anyiro cha kuwania tiketi ya chama cha Domocratic kwa ajili ya kugombea kiti cha rais wa nchi hiyo ameikosoa Saudi Arabia katika kampeni zake huko Las Vegas na kuwaita viongozi wa nchi hiyo kuwa ni 'wauaji na majambazi'.
-
Askofu wa Kanisa Katoliki Lebanon: Mpango wa Muamala wa Karne ni namna fulani ya kutangaza vita
Feb 19, 2020 08:11Kiongozi wa Kanisa Katoliki kusini mwa Lebanon amesema kuwa, mpango wa kibaguzi wa Muamala wa Karne unakinzana wazi kabisa na amani na kuishi pamoja na kimsingi ni namna fulani ya kutangaza vita.
-
Kesi ya Netanyahu yaiva; sasa kusikilizwa Machi 17
Feb 19, 2020 08:08Kesi inayomkabili Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel na inayosubiriwa kwa hamu sasa inatarajiwa kuanza kusikilizwa tarehe 17 ya mwei ujao wa Machi.
-
Vijana waliopewa mafunzo na Luteni Soleimani wamuenzi kamanda wao mjini Halab Syria
Feb 19, 2020 07:26Kwa siku kadhaa sasa wananchi wa kaskazini mwa Syria wameghariki katika furaha baada ya kukombolewa kikamlifu mji wa Halab uliokuwa unakaliwa kwa mabavu na magenge ya kigaidi kwa miaka mingi. Mji huo wa Halab ambao ni muhimu mno kwa Syria hasa kiuchumi, kisiasa, kielimu na kiutamaduni, ulikombolewa kikamilifu Jumapili wiki hii.
-
Bahrain yamhukumu kifungo cha miaka 3 raia wa nchi hiyo aliyechoma moto bendera ya Israel
Feb 19, 2020 02:25Mahkama moja nchini Bahrain imemuhukumu kifungo cha miaka mitatu raia wa nchi hiyo kwa kosa la kuchoma moto bendera ya utawala haramu wa Israel.
-
Utawala wa Kizayuni wajiepusha kuingia tena vitani na wanamuqawama wa Palestina
Feb 18, 2020 10:18Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni amesema kuwa utawala huo umeamua kujiepusha na kujiingiza vitani kwa mara nyingine tena na wanamuqawama wa Palestina.
-
Saudia yaitaka Ujerumani iendelee kurundika silaha nchini humo
Feb 18, 2020 04:38Utawala wa Aal-Saud ambao unaendelea kumwaga damu za Wayemen umeiomba Ujerumani iondoe katazo la kutuma silaha nchini Saudi Arabia.