-
Saudia yaitaka Ujerumani iendelee kurundika silaha nchini humo
Feb 18, 2020 04:38Utawala wa Aal-Saud ambao unaendelea kumwaga damu za Wayemen umeiomba Ujerumani iondoe katazo la kutuma silaha nchini Saudi Arabia.
-
Spika wa Iran akutana na Rais wa Lebanon na Sayyid Nasrullah
Feb 18, 2020 04:22Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Michel Aoun wa Lebanon, Spika wa Bunge la nchi hiyo ya Kiarabu, Nabih Berri na Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah, Sayyid Hassan Nasrullah mjini Beirut.
-
HAMAS: Takwa la Wapalestina kwa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ni kukata kikamilifu uhusiano na Marekani
Feb 17, 2020 22:09Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesisitiza kuwa, takwa la taifa la Palestina kwa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ni kukata kikamilifu uhusiano wake na serikali ya Marekani.
-
Jeshi la Syria: Tutang'oa mizizi ya ugaidi wa ukufurishaji
Feb 17, 2020 22:09Jeshi la Syria sambamba na kuashiria kukombolewa makumi ya vijiji na miji ya kaskazini magharibi mwa nchi hiyo, limesisitiza kuendeleza mapambano yake kwa ajili ya kuung'oa ugaidi wa ukufurishaji.
-
Tuhuma mpya za Uturuki dhidi ya Imarati
Feb 17, 2020 22:08Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uturuki Suleyman Soylu ameituhumu serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati au UAE) kuwa inahusika katika kuchochea fitina ndani ya nchi yake.
-
Larijani asisitiza kuendelea uungaji mkono wa Tehran kwa Damascus katika vita dhidi ya magaidi
Feb 17, 2020 04:15Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesisitiza kuendelea uungaji mkono wa Tehran kwa Damascus katika vita dhidi ya magaidi.
-
Waziri Mkuu wa Palestina: Muamala wa Karne utazikwa hivi karibuni
Feb 17, 2020 02:47Waziri Mkuu wa Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameuambia Mkutano wa Usalama wa Munich kwamba mpango wa Kimarekani wa Muamala wa Karne utazikwa kaburini hivi karibuni.
-
Sayyid Hassan Nasrullah: Kukabiliana na Marekani ni lazima kuwe kwa pande zote na kuhusishe sekta zote
Feb 16, 2020 12:36Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa Marekani ni muhusika wa vita vyote eneo la Asia Magharibi na amesisitiza kuwa, ni lazima kuendesha muqawama katika pande zote kukabiliana na utawala huo wa kibeberu wa Marekani.
-
Hamas: Saudi Arabia ni mshirika wa Marekani katika njama ya kuiangamiza Palestina
Feb 16, 2020 08:54Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kuwa, matamshi yaliyotolewa na Waziri Mshauri katika Masuala ya Nje wa Saudi Arabia, Adel al Jubeir akisifu mpango wa Muamala wa Karne ni kielelezo cha ushirikiano uliopo baina ya Riyadh na Washington kwa ajili ya kutokomeza kabisa kadhia ya Palestina.
-
Saudia imeshindwa katika vita dhidi ya Yemen
Feb 16, 2020 07:30Kuvunjika makubaliano ya Riyadh, kuondoka kikamilifu askari wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) kutoka Yemen na kutunguliwa ndege ya kivita aina ya Tornado ya muungano vamizi wa Saudia, kabla ya jambo lolote lile, ni mambo yanayoashiria kushindwa serikali ya Riyadh katika vita vyake vya kichokozi dhidi ya Yemen.