-
Raia 30 wauawa Yemen katika mashambulizi mapya ya anga ya Saudia
Feb 16, 2020 03:28Kwa akali raia 30 wameuawa katika wimbi jipya la mashambulizi ya anga ya muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia katika mkoa wa Jawf, kaskazini mwa Yemen.
-
Ujumbe wa jumuiya za Mayahudi watembelea Saudia kwa siri na kufanya mazungumzo katika kasri la Mfalme Salman
Feb 15, 2020 23:20Kanali ya Kwanza ya televisheni ya Israel imetangaza kuwa ujumbe uliojumuisha viongozi wa jumuiya za Kiyahudi za Marekani ulitembelea Saudi Arabia siku za hivi karibuni na kupokewa katika kasri la Mfalme Salman bin Abdul Azizi Aal Saud mjini Riyadh.
-
Viongozi wa Uturuki waendelea kutoa kauli za vitisho dhidi ya Syria kuhusiana na Idlib
Feb 15, 2020 10:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki ametoa indhari ya kitakachotokea endapo mazungumzo ya nchi hiyo na Russia kuhusu kadhia ya Idlib hayatokuwa na tija.
-
Serikali ya Misri: Watakaopinga mpango wa Muamala wa Karne watakiona
Feb 15, 2020 00:44Serikali ya Misri imetoa onyo kali kwa shakhsia na wanadiplomasia wa nchi hiyo wanaoukosoa mpango wa Muamala wa Karne na kueleza kwamba, watakaoupinga mpango huo watakaiona.
-
Uvamizi wa nzige: Umoja wa Mataifa watoa tahadhari ya njaa Afrika Mashariki
Feb 15, 2020 00:43Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, eneo la Afrika Mashariki huenda likakumbwa na baa la njaa kama wimbi la nzige wanaokula mimea kwa haraka na malisho ya mifugo hawatadhibitiwa
-
Mpango wa Muamala wa Karne, utawala wa Saudia mfuasi bubu na kipofu wa Marekani
Feb 15, 2020 00:42Msimamo uliotangazwa na maafisa wawili wa ngazi za juu wa utawala wa Saudi Arabia kuhusu Iran na mpango wa Kimarekani uliopewa jina la “Muamala wa Karne” umeonesha tena kwamba, baadhi ya tawala za Kiarabu zinashirikiana na Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel katika utekelezaji wa mpango huo khabithi na katika kufanya mabadiliko kwenye eneo la magharibi mwa Asia.
-
Algeria yataka Syria irejeshwe kwenye Jumuiya ya Nchi za Kiarabu
Feb 14, 2020 04:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria ameziasa nchi za Kiarabu ziharakishe mchakato wa kuirejesha Syria katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League).
-
Saudia yaanzisha wimbi jipya la kuwatia mbaroni Wapalestina
Feb 14, 2020 04:02Utawala wa Aal-Saud umeanzisha wimbi jipya la kuwakamata na kuwazuilia raia wa Palestina wanaoishi Saudi Arabia kwa madai ya kuiunga mkono Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas).
-
Kujiondoa kikamilifu Imarati katika vita nchini Yemen
Feb 14, 2020 03:57Huku vita dhidi ya Yemen vikikaribia kutimiza mwaka wake wa tano, Imarati ambayo inaunda muungano wa kivita unaoongozwa na Saudi Arabia imo mbioni kuondokka majeshi yake yote katika nchi hiyo.
-
"Marekani ilivuka mistari yote miekundu kwa kumuua shahidi Jen. Soleimani"
Feb 13, 2020 23:54Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kwa kumuua kigaidi shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani Kamanda wa Kikosi cha Qods cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ( SEPAH), Marekani ilivuka mistari yote miekundu na kwamba mauaji hayo yamegeuza mahesabu yote katika eneo la Asia Magharibi.