-
Wakazi wa mkoa wa al Hasakah Syria waanzisha mapambano ya kuwafukuza wanajeshi wa Marekani
Feb 13, 2020 23:10Gavana wa mkoa wa al Hasakah nchini Syria amezitaja hatua za mapambano zilizochukuliwa na raia wa vijiji kadhaa vya mkoa huo dhidi ya wanajeshi wa Marekani kuwa ni kuanza kwa mapambano ya wananchi ya kuwafukuza wanajeshi vamizi wa Marekani huko Syria.
-
Maafisa wa Imarati wafunguliwa mashtaka ya kufanya uhalifu wa kivita huko Yemen
Feb 13, 2020 07:58Shirika moja la mawakili la Uingereza limefungua mashtaka dhidi ya maafisa wa serikali ya Imarati kwa tuhuma za kutenda jinai za kivita nchini Yemen.
-
Kuundwa serikali mpya ya Lebanon; mafanikio na changamoto
Feb 13, 2020 04:39Bunge la Lebanon siku ya Jumanne liliidhinisha baraza jipya la mawaziri la nchi hiyo ambalo lilipendekezwa na Waziri Mkuu Hassan Diab. Baraza hilo lilipitishwa kwa kura 63 za 'ndio' na 20 za 'la' huku mbunge mmoja akijizuia kupiga kura katika kikao hicho kilichohudhuriwa na wabunge 84 kati ya wabunge wote 128 wa Bunge la Lebanon.
-
HAMAS yamjibu Netanyahu: Muqawama umejiandaa kuufuta utawala wa Kizayuni katika historia
Feb 13, 2020 04:12Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuhusu vitisho alivyotoa waziri mkuu wa Israel dhidi ya harakati hiyo kwamba: Muqawama wa Palestina umejiandaa na kujiweka tayari kuufuta utawala wa Kizayuni katika ulingo wa historia.
-
UN yayaweka kwenye orodha nyeusi mashirika yanayounga mkono ukaliaji ardhi kwa mabavu wa Israel
Feb 13, 2020 03:55Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imetoa orodha nyeusi inayohusisha mashirika na makampuni yenye uhusiano wa kibiashara na vitongoji haramu vya utawala wa Kizayuni wa Israel vilivyojengwa katika ardhi za Palestina.
-
Magaidi 60 waangamizwa Idlib katika mashambulio ya anga ya Syria na Russia
Feb 13, 2020 00:05Magaidi wasiopungua 60 wameangamizwa na makumi ya wengine kujeruhia mashariki mwa mji wa Idlib kufuatia mashambulio ya anga ya pamoja ya majeshi ya Syria na Russia.
-
Ismail Hania amtumia ujumbe wa pongezi Kiongozi Muadhamu kwa mnasaba wa maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 12, 2020 09:12Ismail Hania Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amemtumia ujumbe Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu na akimpongeza yeye na taifa la Iran kufuatia maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Jeshi la Syria: Tuko tayari kujibu chokochoko za Uturuki; lakomboa baadhi ya maeneo ya Halab
Feb 12, 2020 08:58Kamandi ya jeshi la Syria imesisitiza katika taarifa yake kwamba mashambulizi ya Uturuki katika ardhi ya Syria ni ukikaji wa sheria za kimataifa na kueleza kuwa Wasyria wapo tayari kujibu uchokozi wowote wa Uturuki.
-
EU yatahadharisha kuhusu kuunganishwa Bonde la Jordan na maeneo yanayokaliwa kwa mabavu na Israel
Feb 12, 2020 05:53Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya amekosoa mpango wa Marekani wa Muamala wa Karne na kutahadharisha kuhusu taathira za kuunganishwa eneo la Bonde la Jordan na maeneo yanayokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel na uwezekano wa kushtadi machafuko.
-
Mkataba wa kutoshambuliana Israel na nchi za Kiarabu; hatua ya pili ya utekelezaji wa Muamala wa Karne
Feb 12, 2020 04:34Waziri Mkuu wa zamani wa Qatar Hamad bin Jassim bin Jaber Al Thani amefichua kuwa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel unapanga kusaini mkataba na nchi za Kiarabu wa kutovamiana na kutoshambuliana.