-
Maandamano yaliyofana ya Bahman 22 yaakisiwa pakubwa na vyombo vya habari vya Kiarabu
Feb 11, 2020 23:29Vyombo vya habari katika eneo la magharibi mwa Asia jana viliakisi pakubwa maandamano ya tarehe 22 Bahman (tarehe 11 Februri) ambapo wananchi wa Iran walijitokeza kwa wingi katika maadhimisho ya mwaka wa 41 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Wakati serikali iliyojiuzulu ya Yemen inapolazimika kukiri kufeli makubaliano ya Riyadh
Feb 11, 2020 04:10Rajih Badi, msemaji wa serikali iliyojiuzulu ya Yemen amekiri kwamba makubaliano ya Riyadh ya kutatua mgogoro wa nchi hiyo yamefeli na yamevunjika.
-
Hizbullah ya Iraq yasisitizia tena ulazima wa kulipiza kisasi kwa Marekani
Feb 11, 2020 04:01Msemaji wa Harakati ya Hizbullah ya Iraq amesema kuwa, wanamuqawama wa harakati hiyo wanaendelea kulinda haki yao ya kulipizai kisasi cha jinai za Wamarekani katika kuwaua kigaidi makamanda wa muqawama.
-
Hakim: Mapinduzi ya Kiislamu yaliibua mlingano mpya katika eneo
Feb 11, 2020 01:15Mwenyekiti wa Mrengo wa Kitaifa wa Hikmat nchini Iraq amesema, Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yaliyoongozwa na Imam Khomeini MA yameweza kuvunja njama zote za maadui dhidi ya Iran katika kipindi cha miaka 40 iliyopita sambamba na kuibua mlingano mpya katika eneo la Asia Magharibi na dunia nzima kwa ujumla.
-
Maelfu waandamana Tunisia na Morocco kupinga mpango wa Muamala wa Karne
Feb 10, 2020 08:47Nchi za Tunisia na Morocco zimeshuhudia maandamano makubwa ya wananchi ya kupinga mpango wa Marekani wa Muamala wa Karne na kuulaani vikali mpango huo ulio dhidi ya taifa la Palestina.
-
Msemaji wa Hamas: Mumala wa Karne utafeli na kugonga mwamba
Feb 10, 2020 04:50Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuwa, mipango ya Marekani na utawala ghasibu wa Israel na ushirikiano wao mkubwa wa kutekeleza mpango wa Muamala wa Karne na kuchora ramani mpya ya kuliunganisha eneo la Ukingo wa Magharibi na ardhi zinazokaliwa kwa mabavu, utafeli na kushindwa.
-
Kuandaliwa mazingira ya kuwakutanisha Netanyahu na Bin Salman; njama ya kuuhalalisha 'Muamala wa Karne'
Feb 10, 2020 04:32Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu anafanya kila njia ili akutane na kufanya mazungumzo na Mohammad bin Salman, mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia.
-
Uturuki yaendelea kujizatiti kijeshi kinyume cha sheria kaskazini mwa Syria
Feb 09, 2020 23:38Jeshi la Uturuki limeendelea kujizatiti kaskazini mwa Syria baada ya kuingia msafara mpya wa kijeshi wa nchi hiyo katika mkoa wa Idlib.
-
Jumuiya ya Mabunge ya Kiarabu: Hakuna kufanya mapatano yoyote na utawala haramu wa Israel + Video
Feb 09, 2020 04:47Kikao cha dharura cha Jumuiya ya Mabunge ya Kiarabu kimesisitiza upinzani wake dhidi ya nchi za Kiarabu kuwa na uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Sisitizo la viongozi wa kidini Iraq la kushirikiana wananchi, vikosi vya usalama na serikali
Feb 09, 2020 04:15Uongozi wa juu wa kidini nchini Iraq Ijumaa iliyopita ulitoa taarifa ukitilia mkazo udharura wa kuwa mbali na kujiepusha na machafuko na kusema, kuna ulazima wa kuundwa serikali madhubuti nchini humo.