-
Mahathir: "Muamala wa Karne" ni mpango wa kibaguzi unaohalalisha uvamizi
Feb 08, 2020 23:12Waziri Mkuu wa Malaysia amesema kuwa mpango wa Mumala wa Karne uliobuniwa na Rais Donald Trump wa Marekani kwa ajili eti ya amani ya Mashariki ya Kati umetayarishwa na dhalimu na mchokozi, si wa kiadilifu na utapelekea kujitokeza hali ya ubaguzi wa kizazi (Apartheid).
-
Barghuthi: Hatua za utawala wa Kizayuni hazitadhoofisha irada ya taifa la Palestina
Feb 08, 2020 09:47Katibu Mkuu wa Harakati ya Ubunifu wa Palestina amesema, hatua za utawala wa Kizayuni wa Israel haziwezi kudhoofisha irada ya taifa la Palestina.
-
Wajumbe zaidi ya 100 wa Baraza la Wawakilishi Marekani waukataa mpango wa 'Muamala wa Karne'
Feb 08, 2020 09:27Wajumbe 107 wa chama cha Democrat katika Baraza la Wawakilishi la Marekani wamemwandikia barua rais wa nchi hiyo Donald Trump wakiupinga vikali mpango wake alioupa jina la "Muamala wa Karne".
-
Hizbullah ya Lebanon: Tutaiunga mkono serikali mpya
Feb 08, 2020 04:29Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbulla ya Lebanon amesema kuwa harakati hiyo itaonyesha imani yake kwa serikali mpya ya nchi hiyo kwa kuwa ina shakhsia wanaofaa.
-
Ndege za kivita za Israel zatumia ndege ya abiria kama ngao Syria
Feb 07, 2020 23:28Wizara ya Ulinzi ya Russia imesema ndege za kijeshi za utawala haramu wa Israel zimetumia ndege ya abiria kama ngao ya kujikinga katika uvamizi wake mpya dhidi ya Syria.
-
Bunge la Iraq: Wamarekani ondokeni haraka kutoka nchi hii
Feb 07, 2020 10:42Naibu Spika wa Bunge la Iraq amepinga vikali uingiliaji wa kila mara wa ubalozi wa Marekani katika masuala ya ndani ya nchi hiyo ya Kiarabu na kusema, Washington inatakiwa kufanya haraka kuwaondoa askari wake kutoka Iraq.
-
Siku ya umwagaji damu Palestina; nia thabiti ya muqawama ya kupambana na "Muamala wa Karne"
Feb 07, 2020 08:33Wapalestina wanne waliuawa shahidi jana Alkhamisi baada ya kutokea mapigano baina ya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel na Wapalestina hao.
-
Amnesty International: Saudi Arabia ina mahakama ya siri kwa ajili ya wapinzani
Feb 07, 2020 04:16Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limetangaza kuwa, Saudi Arabia ina mahakama moja ya siri ambayo hutumika kushughulikia mafaili yanayojulikana kama ya ugaidi, mahakama ambayo inatambulika kama 'silaha ya ukandamizaji dhidi ya wakosoaji.
-
Rais Mahmoud Abbas: Hatutaruhusu mpango mchafu wa Muamala wa Karne utekelezwe
Feb 06, 2020 08:45Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina kwa mara nyingine tena ametoa radiamali yake kuhusiana na kuzinduliwa mpango mbaya wa Muamala wa karne na kusisitiza kwamba, taifa la Palestina katu halitaruhusu mpangop huo uliojaa njama utekelezwe.
-
Kupamba moto kwa mivutano baina ya Uturuki na Russia juu ya mashambulizi ya Ankara huko Syria
Feb 05, 2020 09:06Baada za kupamba moto mivutano baina ya Moscow na Ankara kuhusiana na hali inayotawala huko kaskazini mwa Syria, Rais wa Uturuki ametangaza kuwa, nchi yake haitambui rasmi suala la kuunganishwa Rasi ya Crimea na ardhi ya Russia.