-
Saudia yaipa Washington dola milioni 500 kwa ajili ya uwepo wa askari wa US nchini humo
Jan 18, 2020 04:01Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) imefichua kuwa, utawala wa Riyadh umeipa Washingon dola milioni 500, kama malipo ya kugharamia uwepo wa askari wa Marekani katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Wajordan waandamana kupinga makubaliano ya gesi na Israel
Jan 17, 2020 23:40Mamia ya wananchi wa Jordan wamefanya maandamano ya kupinga hatua ya serikali ya nchi hiyo kufikia mapatano ya mabilioni ya dola ya gesi asilia na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Mazungumzo eti ya amani kati ya Marekani na Taleban huko Qatar yavunjika
Jan 17, 2020 23:25Waziri wa Serikali Katika Masuala ya Afghanistan, amesema kuwa mazungumzo eti ya 'amani' kati ya Marekani na kundi la Taleban yanayofanyika nchini Qatar, yamevunjika.
-
Utawala wa katili wa Kizayuni wawashambulia Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza
Jan 17, 2020 08:46Helikopta ya utawala wa Kizayuni wa Israel imevurumisha makombora ambayo yamelenga vituo vya makundi ya wapigania ukombozi (wanamuqawama) wa Palestina katika eneo la mashariki mwa Ukanda wa Ghaza.
-
Ujumbe wa mwito wa maandamano ya milioni ya watu wa kuipinga Marekani nchini Iraq
Jan 17, 2020 04:33Mwito uliotolewa na Muqtada al Sadr, mkuu wa mrengo wa Sadr nchini Iraq wa kufanyika maandamano ya milioni ya watu kuitaka Marekani iondoke nchini humo umepokewa kwa furaha na makundi ya muqawama na wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Askari wa US waliojeruhiwa na makombora ya Iran wanatibiwa Ujerumani na Kuwait
Jan 17, 2020 03:54Licha ya utawala wa Washington hapo awali kudai kuwa hakuna askari wa Marekani aliyeuawa au kujeruhiwa katika majibu makali yaliyotolewa na Iran dhidi ya kambi mbili za kijeshi za nchi hiyo huko Iraq, lakini hivi sasa imefichuka kuwa, wanajeshi kadhaa wa US waliojeruhiwa walipekwa kwa usafiri wa ndege katika nchi za Ujerumani na Kuwait kwa ajili ya matibabu.
-
Kamati ya usalama Iraq: Marekani haijawa na nafasi yoyote ya kuimarisha usalama nchini
Jan 16, 2020 23:22Mjumbe mwandamizi wa kamati ya usalama na ulinzi ya bunge la Iraq amesema kuwa askari vamizi wa Marekani hawajawahi kuwa na nafasi yoyote ya kuimarisha usalama na amani nchini humo.
-
Yemen yazitaka asasi za kimataifa kupamabana na maradhi ya kuambukiza
Jan 16, 2020 04:28Maafisa wa sekta ya afya nchini Yemen wametoa wito kwa asasi za kimataifa kuongeza juhudi za kukabiliana na maradhi ya kuambukiza kama homa ya dengue na vilevile malaria.
-
Israel kuendelea kujenga vitongoji vya walowezi licha ya malalamiko ya walimwengu
Jan 16, 2020 04:27Utawala haramu wa Israel umetangaza kuwa, utaendelea na ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika maeneo ya Palestina unayoyakalia kwa mabavu.
-
Uturuki na undumakuwili wa kijeshi na kidiplomasia kuhusu masuala ya Asia Magharibi
Jan 16, 2020 04:12Katika hali ambayo viongozi wa serikali ya Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki wameamua kutumia wenzo wa kijeshi kutatua matatizo ya Wakurdi wa nchi hiyo, wakati huo huo wanasisitiza kuwa matatizo ya pande zinazozozana katika eneo yanapasa kupatiwa ufubuzi kwa njia ya kisiasa na ya amani.