-
Sadr aitisha maandamano ya "watu milioni moja" Iraq ya kulaani kuwepo kijeshi kwa Marekani
Jan 15, 2020 04:35Kiongozi wa Harakati ya Sadr nchini Iraq ametoa mwito kwa wananchi kufanya maandamano ya watu wasiopungua milioni moja ya kulaani kuwepo kijeshi Marekani nchini humo.
-
Wakimbizi wengine 1,312 wa Syria warejea nchini kwao
Jan 15, 2020 04:01Kituo cha maridhiano cha Russia nchini Syria kimetangaza kuwa wakimbizi 1,312 wa Syria waliokuwa katika nchi jirani wamerejea makwao.
-
Nyigo mpya za ufafanuazi wa Nasrullah kuhusu sababu na matokeo ya kuuliwa kigaidi kiongozi wa muqawama
Jan 14, 2020 04:06Siku ya Jumapili Sayyid Hassan Nsrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon alizungumzia nyigo mpya za sababu na matokeo ya jinai za serikali ya kigaidi ya Marekani katika kumuua shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani na watu wengine aliokuwa nao.
-
Hizbullah Iraq: Muqawama unajiandaa kutoa jibu kali kwa jinai za Marekani
Jan 14, 2020 01:19Msemaji wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah nchini Iraq amesema kuwa, kambi ya muqawama kwa makundi yake yote inajiandaa kutoa jibu kali kwa jinai za Marekani.
-
TV ya Saudia yamtimua mtangazaji wa Palestina kwa kutangaza mshikamano na Wayemen
Jan 14, 2020 01:00Televisheni ya Saudi Arabia imemsimamisha kazi mtangazaji wake baada ya kubainika kwamba, amekuwa akituma ujumbe katika mtandao wa kijamii wa Twitter akitangza mshikamano wake na Wayemen na kulaani mashambulizi yanayofanywa na utawala wa Riyadh dhidi ya raia wasio na hatia wa Yemen.
-
Syria: Taathira za kuuawa Shahidi Qassem Soleimani zitaendelea kwa miaka mingi
Jan 13, 2020 04:21Mshauri wa Kisiasa na Vyombo vya Habari wa Rais Bashar al-Assad wa Syria amesisitiza kwamba taathira za kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran IRGC, zitaendelea kwa miaka mingi.
-
Marekani kuzuia pesa za mafuta za Baghdad wanajeshi wake wakitimuliwa Iraq
Jan 12, 2020 21:08Utawala wa Washington umetishia kuzuia akaunti za benki zenye mabilioni ya dola za Iraq, iwapo serikali ya Baghdad itakeleza mpango wake wa kuwatimua nchini humo wanajeshi wa Marekani.
-
Hizbullah yasisitiza kuondoka wanajeshi wa Marekani eneo la Asia Magharibi
Jan 12, 2020 08:46Mwenyekiti wa Baraza la Utendaji la Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuhusu kuondoka wanajeshi wa Marekani katika eneo la Asia Magharibi kama jibu la kweli la mauaji ya kigaidi ya mashahidi Haj Qassem Soleimani na Abu Mahdi al Muhandis.
-
Ngome kubwa ya ISIS yaharibiwa kaskazini mwa Iraq
Jan 12, 2020 08:43Vikosi vya Kujitolea vya Wananchi wa Iraq maarufu kama Al Hashd al Shaabi vimeharibu pango kubwa zaidi la magaidi wa ISIS (Daesh) kaskazini mwa Iraq.
-
Harakati ya Ansarullah ya Yemen: Mchango mzuri wa Sultan Qaboos hautasahaulika
Jan 12, 2020 03:37Msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema katika salamu za rambirambi alizotoa kufuatia kifo cha mfalme wa Oman Sultan Qaboos bin Said Al Said, kwamba kiongozi huyo alitoa mchango mzuri na chanya katika matukio ya eneo la Asia Magharibi.