-
Sultan mpya wa Oman: Tutaendeleza njia ya Sultan Qaboos katika mahusiano ya nje
Jan 11, 2020 10:10Haitham bin Tariq Aal Said Sultan mpya wa Oman amesema kuwa, ataendeleza njia ya mtangulizi wake Sultan Qaboos katika mahusiano ya nje.
-
Haitham bin Tariq Aal Said, ateuliwa kuwa Sultan mpya wa Oman
Jan 11, 2020 04:36Bw. Haitham bin Tariq Aal Said ameteuliwa kuwa Sultan mpya wa Oman baada ya kutangazwa habari ya kufariki dunia Sultan Qaboos wa nchi hiyo usiku wa kuamkia leo Jumamosi.
-
HAMAS: Utawala wa Kizayuni unataka kuangamiza kizazi kizima cha Wapalestina
Jan 11, 2020 04:34Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, Wazayuni wanaendelea kujenga vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Wapalestina za Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan lengo likiwa ni kuangamiza kabisa kizazi cha Wapalestina kwenye eneo hilo.
-
Sultan Qaboos wa Oman ameaga dunia, siku tatu za maombolezo ya kitaifa zatangazwa
Jan 11, 2020 01:21Sultan Qaboos bin Said wa Oman ameanga dunia mapema leo Jumamosi akiwa na umri wa miaka 79
-
Amir Hatami: Marekani inapaswa kuhitimisha haraka uvamizi wake Asia Magharibi
Jan 11, 2020 01:20Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ili kukabiliana na mizozo na uzushaji wa migogoro na ukosefu wa amani katika eneo la Asia Magharibi, kuna ulazima wa uvamizi na uangiliaji wa Marekani katika masuala ya ndani ya eneo hili kuhitimishwa haraka iwezekanavyo.
-
Ndege ya abiria ya Ukraine yawaka moto Tel Aviv, Israel
Jan 10, 2020 08:39Ndege ya abiria aina ya Boing 737-800 ya Shirika la Ndege la Ukraine, imewaka moto katika uwanja wa ndege wa Tel Aviv, Israel.
-
Umati mkubwa wa Wairaqi wakusanyika mahali walipouawa shahidi Qassem Soleimani na Abu Mahdi al-Muhandis
Jan 10, 2020 04:41Mamia ya Wairaqi wamekusanyika mahali makombora ya jeshi la kigaidi la Marekani yalipoulenga msafara wa magari yaliyokuwa yamewabeba Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu na Abu Mahdi al-Muhandis, Naibu Mkuu wa Jeshi la Kujitolea la Wananchi wa Iraq la Al-hashdu-Sha'abi na kulaani jinai hiyo ya Marekani.
-
Bahrain yawahukumu kifo wanaharakati wawili wa nchi hiyo
Jan 09, 2020 04:49Utawala wa Bahrain umewahukumu kifo wanaharakati wawili wa masuala ya kisiasa wa nchi hiyo.
-
Msimamo wa Uturuki kuhusiana na kubadilika mlingano wa nguvu Asia Magharibi baada ya mauaji ya Qassim Soleimani
Jan 09, 2020 04:46Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Uturuki amesema kuwa, baada ya kuuawa na Marekani Luteni Jenerali Qassim Soleimani, mlingano wa nguvu katika Asia Magharibi utabadilika.
-
Marais wa Russia na Uturuki watoa mwito kwa Iran na Marekani kupunguza mivutano na kutatua matatizo kidiplomasia
Jan 08, 2020 21:48Marais wa Russia na Uturuki wametoa taarifa maalumu mwishoni mwa mazungumzo yao waliyofanya mjini Istanbul wakieleza wasiwasi walionao kutokana na kushadidi mivutano kati ya Iran na Marekani.