-
Rais Mahmoud Abbas: Wapalestina wanaupinga vikali mpango wa 'Muamala wa Karne"
Dec 15, 2019 01:10Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema kuwa, taifa la Palestina linaupinga mpango wa Marekani wa "Muamala wa Karne" na kwamba, katu haliutambui rasmi mpango huo.
-
Harakati ya Answarullah ya Yemen: Marekani ndio inazuia kusimamishwa vita
Dec 14, 2019 21:43Mohammed Ali al-Houthi, Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi nchini Yemen ameitaja Marekani kuwa ndio kizuizi kikuu cha kutosimamishwa uvamizi na mzingiro dhidi ya taifa hilo la Kiarabu.
-
Uchambuzi wa Sayyid Hassan Nasrullah kuhusu nafasi ya Marekani katika matukio ya Iraq na Lebanon
Dec 14, 2019 21:41Sayyid Hassan Nasrullah Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon juzi usiku alitoa hotuba kuhusu matukio ya karibuni huko Lebanon na katika eneo la Asia Magharibi.
-
HAMAS yakaribisha kuanza upya harakati za UNRWA
Dec 14, 2019 08:47Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imekaribisha hatua ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Msaada kwa Wakimbizi wa Kipalestina UNRWA kuongeza kwa miaka mitatu zaidi muda wa kutoa huduma kwa wakimbizi wa Palestina.
-
Ripoti: Saudia inafanya jitihada za kuboresha uhusiano na Iran
Dec 14, 2019 04:07Gazeti la The Wall Street Journal la Marekani limeripoti kuwa, watawala wa Saudi Arabia wanafanya jitihada za chini kwa chini za kuwa na uhusiano mzuri na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na nchi nyingine za eneo la Asia Magharibi.
-
Nasrullah: Hizbullah ni tishio kubwa kwa njama za Marekani na Israel
Dec 14, 2019 03:55Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema njama ghalati za Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo zimekuwa zikigonga mwamba kutokana na uwepo na kusimama kidete harakati hiyo ya muqawama.
-
Kuwait: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haipasi kuwa chini ya vikwazo
Dec 13, 2019 23:36Mwakilishi wa Kuwait katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa amesisitiza kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haipasi kuwa chini ya vikwazo.
-
Waziri Mkuu wa Iraq alitaka jeshi kukabiliana na magenge ya wahalifu
Dec 13, 2019 23:32Waziri Mkuu wa Muda wa Iraq amesema kuwa tukio la Medani ya al Wathba limeonesha kuwa, kuna makundi yaliyoanzishwa kwa makusudi yanayoparamia maandamano ya wananchi kwa ajili ya kufanya mauaji na kuzusha hofu na wahka nchini Iraq.
-
Syria yakosoa jinai zinazofanywa na Marekani dhidi ya binadamu na haki zake
Dec 13, 2019 06:59Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imeikosoa Marekani kutokana na jinai zake dhidi ya ubinadamu na haki za binadamu katika maeneo mbalimbali ya dunia na imetoa wito wa kufanyika uchunguzi wa kimataifa kuhusiana na jinai hizo.
-
Israel yawakamata viongozi kadhaa wa HAMAS al-Khalil
Dec 12, 2019 21:13Vikosi vya usalama vya utawala haramu wa Israel vimeendeleza chokochoko zake kwa kuwatia mbaroni viongozi kadhaa wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) mjini al-Khalil (Hebron), katika Ukiongo wa Magharibi wa Mto Jordan.