-
Kuvunjwa Knesset ya 22 na mustakbali wa serikali ya Israel
Dec 12, 2019 21:12Wawakilishi wa Bunge la Israel (Knesset) mapema jana Alkhamisi walipiga kura ya kuvunjwa bunge hilo ikiwa ni kwa mara ya pili katika miezi saba ya hivi karibuni na hivyo utawala huo unalazimika kuitisha uchaguzi mpya ambao utakuwa wa tatu wa bunge katika mwaka mmoja uliopita.
-
Sheikh Abdul-Amir Qabalan: Mkutano wa Bahrain ni khiana kwa Palestina
Dec 12, 2019 08:38Mkuu wa Baraza Kuu la Kiislamu la Mashia wa Lebanon ameulaani mkutano wa Bahrain na juhudi za kutaka kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel na kusema hatua yoyote ya kutaka kuanzisha uhusiano na Israel ni khiana kwa historia ya Uislamu na ardhi za Palestina.
-
Mkwamo wa kisiasa waendelea ndani ya Israel, hatimaye bunge la utawala huo lavunjwa
Dec 12, 2019 04:47Bunge la utawala wa Kizayuni wa Israel 'Knesset' limetangaza kuvunjwa rasmi muhimili huo, kwa kipindi cha karibu mwaka mmoja ambapo utawala huo utashuhudia uchaguzi wa tatu wa bunge.
-
Harakati ya Hashdush-Sha'abi yategua mabomu 100 nchini Iraq
Dec 12, 2019 04:30Harakati ya Wananchi ya Hashdush-Sha'abi nchini Iraq imefanikiwa kutegua mabomu 100 pamoja na mada za miripuko katika mkoa wa Kirkuk, kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Fitina kubwa au maandamano dhidi ya serikali katika 'Siku ya Ushindi' wa Iraq?
Dec 11, 2019 09:05Jana tarehe 10 Disemba ilisadifiana na siku ya kutangazwa ushindi wa Iraq dhidi ya kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS).
-
Bahrain yamkosoa Amir wa Qatar kwa kutohudhuria kikao cha Riyadh
Dec 11, 2019 09:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Bahrain ameitaja hatua ya Amir wa Qatar ya kutoshiriki kikao cha wakuu wa nchi wanachama wa Baraza la ushirikiano la Ghuba ya Uajemi huko Riyadh Saudi Arabia kuwa ni ishara ya kutokuwa na azma Doha ya kuhitimisha mgogoro baina yake na nchi nne za Kiarabu.
-
Hamas: Masjidul Aqsa ni mstari mwekundu usiopaswa kuguswa
Dec 11, 2019 04:34Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetahadharisha kuhusu vitendo vya walowezi wa Kizayuni vya kuendelea kuuvunjia heshima Msikiti wa al Aqsa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Muungano wa Al-Fat'h nchini Iraq watahadharisha kuhusu uingiliaji wa Marekani katika uundaji serikali
Dec 11, 2019 00:17Karim Alyawi, mjumbe wa muungano wa kisiasa wa Al-Fat'h nchini Iraq ametahadharisha kuhusu matokeo mabaya ya uingiliaji wa Marekani katika uundaji wa serikali na uteuzi wa waziri mkuu mpya wa nchi hiyo.
-
Kuakhirishwa kikao cha Bunge la Lebanon; Saad Hariri katika ndoto za kurejea madarakani
Dec 10, 2019 10:52Jumatatu ya jana tarehe 9 Disemba, ilipangwa kuwa Bunge la Lebanon likutane na kufanya mashauriano kuhusiana na Waziri Mkuu mpya wa nchi hiyo. Hata hivyo kikao hicho cha Bunge kiliakhirishwa.
-
Msemaji wa Hamas: Mapambano ndiyo njia pekee ya kuikomboa Palestina
Dec 10, 2019 09:49Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuwa, mapambano ya pande zote na kwa kutumia mbinu na nyezo zote ndiyo chaguo la taifa la Palestina kwa ajili ya kukabiliana na utawala ghasibu wa Israel.