-
Tokea wizi wa maji hadi propaganda dhidi ya Iran; je, Israel inafichaje matatizo yake ya maji?
Aug 17, 2025 08:45Felice Friedson, Mkuu na Mkurugenzi Mtendaji wa The Media Line, mnamo Agosti 15, mwaka huu aliandika makala, yenye kichwa cha habari kisemacho "Tehran, Amka: Teknolojia ya Maji ya Israel, Sio Mabomu ya Nyuklia, Bali ni Daraja la Amani."
-
Mkuu wa zamani wa Intelijensia wa Israel: Kufa watu wengi Ghaza ni 'lazima', ni ujumbe kwa vizazi vijavyo
Aug 17, 2025 07:53Mkuu wa zamani wa idara ya intelijensia ya jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel, ambaye alijiuzulu mwaka jana kwa kushindwa kuzuia mashambulizi ya Oktoba 7, amesema Wapalestina wanahitaji kufikwa na Nakba "kila baada ya muda fulani" na kwamba kuongezeka idadi ya vifo huko Ghaza ni kitu cha "lazima".
-
Umoja wa Mataifa waonya juu ya kuibuka magonjwa ya kuambukiza Gaza
Aug 17, 2025 03:46Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa, kushadidi wimbi la joto na kuendelea mashambulizi ya utawala ghasibu wa kizayuni kutapelekea kuenea magonjwa ya kuambukiza katika Ukanda wa Gaza.
-
Mchambuzi mtajika wa Ulimwengu wa Kiarabu: Njama ya kuwahamisha wakazi wa Ghaza kwa nguvu itafeli
Aug 17, 2025 03:09Abdul Bari Atwan, mchambuzi mashuhuri katika Ulimwengu wa Kiarabu amezungumzia hatua za hivi karibuni nza utawala wa Kizayuni wa Israel za kufanya mazungumzo na nchi kadhaa ili kuzishawishi zikubali kuwapokea Wapalestina wa Ghaza baada ya kuwahamisha kwa nguvu katika ardhi yao, na kusisitiza kwamba, kutokana na istiqama na msimamo thabiti wa Wapalestina wa Ghaza, hatima ya njama hiyo ya Tel Aviv itakuwa ni kugonga mwamba tu.
-
Je, nini hatima ya kuipokonya silaha Hizbullah ya Lebanon?
Aug 17, 2025 01:51Katika wiki za hivi karibuni, mpango wa kuipokonya silaha Hizbullah nchini Lebanon umewasilishwa kwa mashinikizo ya Marekani na uungaji mkono wa utawala ghasibu wa Israel.
-
IUMS: Mpango wa "Israel Kubwa Zaidi" ni tisho kwa Umma wa Kiislamu
Aug 16, 2025 22:56Umoja wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu (IUMS) umelaani vikali mpango unaoitwa "Israel Kubwa Zaidi" na kuutaja kuwa ni mpango wa kikoloni dhidi ya umma mzima wa Kiislamu na kutaka kuweko umoja wa nchi za Kiislamu na uungaji mkono wao kwa watu wa Palestina.
-
Wizara ya Afya ya Gaza yanatabiri vifo 500 kila siku kutokana na njaa
Aug 16, 2025 05:05Wizara ya Afya ya Palestina katika Ukanda wa Gaza imetabiri uwezekano wa kufikia vifo 500 kila siku kutokana na njaa.
-
Mataifa ya Kiislamu yalaani kauli ya Netanyahu ya 'Israel Kubwa Zaidi'
Aug 16, 2025 04:49Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa nchi 31 za Kiarabu na Kiislamu, pamoja na mashirika ya kieneo, wamelaani vikali matamshi ya Netanyahu kuhusu "Israel Kubwa Zaidi," na kuyataja kuwa ni tishio la moja kwa moja kwa usalama wa kitaifa wa Kiarabu na amani ya kikanda.
-
UN: Israel imeshaua Wapalestina wasiopungua 1,760 Ghaza wanaokimbilia msaada wa chakula
Aug 16, 2025 03:09Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imetangaza kuwa tangu mwishoni mwa mwezi Mei hadi sasa, jeshi la Israel limeshawaua Wapalestina wasiopungua 1,760 walipokuwa wakihangaika kupata msaada wa chakula huko Ukanda wa Ghaza likiwa ni ongezeko la mamia kadhaa tangu ilipotoa takwimu zake za mwisho mwanzoni mwa mwezi huu wa Agosti.
-
Mawaziri maluuni wa kizayuni wanaweza kupandishwa kizimbani ICC katika kesi ya kwanza ya apatheidi
Aug 16, 2025 02:30Maombi ya kutolewa waranti wa kuwatia nguvuni mawaziri wawili wa utawala wa kizayuni Israel wenye msimamo mikali ya chuki Itamar Ben-Gvir na Bezalel Smotrich kwa mashtaka ya kuhusika na ubaguzi wa rangi wa utenganishaji (apartheid) yamekamilika, lakini bado hayajawasilishwa katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), kwa hofu ya vikwazo vya Marekani na mashinikizo kutoka nje.