-
Waliofariki kwa mafuriko katika jimbo la Texas nchini Marekani yafikia 104
Jul 08, 2025 07:40Duru kadhaa za habari zimeripoti kuwa idadi ya watu waliofariki kutokana na mafuriko yaliyotokea katika jimbo la Texas nchini Marekani imeongezeka na kufikia 104.
-
Kundi la BRICS lakutana Brazil na kulaani mashambulizi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran
Jul 08, 2025 05:19Taarifa ya mwisho ya mkutano wa viongozi wa kundi la BRICS, imesema: “Tunalaani mashambulizi ya kijeshi yaliyoanza tarehe 13 Juni 2025 dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, yaliyofanywa na utawala wa Israel na Marekani, kwani yanakiuka sheria za kimataifa.”
-
Maprofesa Marekani wafungua kesi dhidi ya kukamatwa wanaounga mkono Palestina
Jul 08, 2025 04:22Kundi la maprofesa nchini Marekani limefungua kesi mahakamani kupinga juhudi za utawala wa Rais Donald Trump za kuwatimua wanafunzi wa kigeni wanaoonyesha msimamo wa kuunga mkono Palestina.
-
US yaamua kuiondoa Hay-at Tahrir Sham kwenye orodha ya makundi ya kigaidi
Jul 07, 2025 14:39Marekani imetangaza siku ya Jumatatu kuwa inabatilisha uamuzi wake wa huko nyuma kwa kuliondoa kundi la kigaidi la kigeni la Hay'at Tahrir al-Sham (HTS) la Syria kwenye orodha ya makundi ya kigaidi, miezi kadhaa baada ya kundi hilo kuongoza mashambulizi ya kijeshi yaliyoiangusha serikali ya Rais Bashar al Assad.
-
Tishio la kibiashara la Trump dhidi ya nchi zinazoshirikiana na BRICS
Jul 07, 2025 07:53Kufuatia kuongezeka kwa ushawishi wa kundi la BRICS katika uchumi wa dunia, Rais Donald Trump wa Marekani ametishia kutoza ushuru wa ziada wa asilimia 10 kwa nchi yoyote itakayoshirikiana na BRICS.
-
Mfumo wa ulinzi wa anga wa Russia watungua droni 400 za Ukraine
Jul 07, 2025 07:45Wizara ya Ulinzi ya Russia imesema kuwa Jeshi la anga la nchi hiyo limefanikiwa kudungua ndege zisizo na rubani 402 za Ukraine na mabomu saba ya angani yaliyokuwa yakiongozwa tokea mbali.
-
Rais Putin: BRICS imeipiku G7 katika utendaji kazi, GDP
Jul 07, 2025 03:41Rais wa Russia, Vladimir Putin amesema kundi la BRICS limelishinda kundi la G7 linalotawaliwa na nchi za Magharibi, kwa Pato Ghafi la Taifa (GDP).
-
Rais wa Brazil ailaani waziwazi Israel kwa mauaji ya kimbari ya Ghaza katika kikao cha BRICS
Jul 06, 2025 15:58Rais Luiz Inacio Lula da Silva wa Brazil amesema dunia lazima ichukue hatua kukomesha kile alichokitaja kama "mauaji ya kimbari" yanayofanywa Israel huko Ghaza.
-
Mkutano wa kilele wa BRICS walaani mashambulizi ya kijeshi dhidi ya Iran
Jul 06, 2025 15:18Mkutano wa kilele wa kundi la BRICS jana Jumapili ulilaani mashambulizi ya kijeshi ya Israel na Marekani dhidi ya Iran, na kuyataja kuwa ni ukiukaji wa sheria za kimataifa na Mkataba wa Umoja wa Mataifa.
-
BRICS yapendekeza mageuzi IMF ili kulinda nchi masikini zaidi
Jul 06, 2025 11:05Mawaziri wa Fedha wa nchi wanachama wa kundi la kiuchumi la BRICS la mataifa yanayoendelea wametaka yafanyike mageuzi katika Mfuko wa Fedha wa Kimataifa IMF, ikiwa ni pamoja na usambazaji mpya wa haki za kupiga kura na kukomesha utamaduni wa Ulaya kushika usukani wa uendeshaji wa shirika hilo.