-
UN: Israel imekiuka sheria za kimataifa kwa kuwalenga raia wa Iran
Jul 01, 2025 23:14Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa imetangaza kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel umekiuka pakubwa sheria za kimataifa kwa kuwaua shahidi wanafamilia wa wanasayansi wa nyuklia na raia wa kawaida wa Iran.
-
Russia yaonya kuhusu matokeo hatari ya jaribio lolote la kubadilisha kwa nguvu serikali duniani
Jul 01, 2025 22:40Dmitry Peskov, Msemaji wa Kremlin ya Russia alionya Jumapili Juni 29, kwamba wito na majaribio ya kubadilisha kwa nguvu serikali zinazotawala katika nchi tofauti duniani yanaweza kuutumbukiza ulimwengu katika machafuko makubwa.
-
Papa Leo aikemea Israel kwa kutumia njaa kama wenzo wa vita
Jul 01, 2025 09:01Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani kwa mara kadhaa sasa tangu achaguliwe kuongoza kanisa Katoliki ameutahadharisha utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu kutumia njaa kama wenzo wa kivita katika Ukanda wa Gaza.
-
Wahka watanda Marekani kwa hofu ya mashambulizi ya mtandaoni ya Iran
Jun 30, 2025 23:03Vyombo vya serikali ya Marekani vimetahadharisha kuhusu uwezekano wa kuendelea mashambulizi ya mtandaoni ya Iran dhidi ya miundombinu na mitandao ya nchi hiyo hususan makampuni yenye mfungamano na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Vita vya Iran na Israel vyasambaa hadi katika ligi ya soka ya Argentina
Jun 30, 2025 23:02Mashabiki wa timu ya soka katika Ligi ya Argentina, katika mkesha wa mechi dhidi ya timu nyingine inayowakilisha Wayahudi wa nchi hiyo, wamekaribisha mechi hiyo kkwa kupeperusha bendera za Iran na Palestina.
-
Mwanasiasa wa India amhutubu Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Tuna bahati ya kuzaliwa katika zama zako
Jun 30, 2025 23:02Mwanasiasa mashuhuri wa India amesema katika ujumbe wake kwa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: "Tuna bahati ya kuzaliwa katika zama zako."
-
Human Rights Watch Ulaya-Mediterranean: Nchi zote zinapaswa kuchukua hatua kukomesha mauaji ya kimbari ya Gaza
Jun 29, 2025 08:31Shirika la Kutetea Haki za Kibinadamu la Euro-Mediterranean Human Rights Watch limezitaka taasisi nchi zote zinazohusika kutekeleza wajibu wao wa kisheria na kimaadili na kuchukua hatua za haraka za kukomesha mauaji ya kimbari huko Gaza.
-
Profesa wa Chuo Kikuu cha Georgetown: Msimamo wa Iran wa kutokuwa na imani na Marekani unaeleweka
Jun 29, 2025 08:29Shireen Hunter, profesa katika Chuo Kikuu cha Georgetown huko Washington, DC amesema kuwa, mashambulizi ya utawala wa Israel dhidi ya Iran yalifanywa kwa lengo la kuvuruga mazungumzo kati ya Tehran na Washington yaliyokuwa na lengo la kupata suluhisho la amani la suala la nyuklia la Iran na kusema: Kutokuwa na imani kwa Iran na nia na malengo ya Marekani kunaeleweka, na Tehran lazima itake dhamana inayohitajika katika makubaliano yoyote yajayo.
-
Maandamano ya waungaji mkono wa Iran yautikisa mji wa Vienna
Jun 29, 2025 04:33Maelfu ya wanaharakati wanaopinga vita na watu wa matabaka tofauti nchini Austria walifanya maandamano Jumamosi ya jana, Juni 28, katika mitaa ya kati ya Vienna kuelezea mshikamano wao na Iran mkabala wa mashambulizi ya Marekani na Israel.
-
Mtaalamu wa masuala ya usalama: Vita vya siku 12 vimefichua udhaifu wa Marekani na kudhihirisha nguvu ya Iran
Jun 28, 2025 23:15Daktari Abdullahi Yalwa, mtaalamu na mchambuzi mashuhuri wa masuala ya usalama wa Nigeria amesema kuwa, vita vya siku 12 vimefichua udhaifu wa Marekani na kudhihirisha nguvu ya Iran.