-
Papa: Inaungulisha nyoyo kuona sheria za kimataifa haziheshimiwi tena
Jun 28, 2025 05:11Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo amesema, inaungulisha nyoyo kuona sheria za kimataifa haziheshimiwi tena.
-
Chanzo cha ugonjwa wa Uviko-19 bado hakijulikani baada ya utafiti wa miaka kadhaa
Jun 28, 2025 04:14Shirika la Afya Duniani (WHO) limeeleza kuwa jitihada za kujua asili na chanzo cha janga la ugonjwa wa COVID-19 bado zinaendelea na hazijakamilika, kwa sababu hakuna taarifa muhimu zilizotolewa hadi sasa.
-
Seneta wa Marekani: Mpango wa nyuklia wa Iran haujaangamizwa
Jun 28, 2025 02:56Chris Murphy, Seneta wa Marekani wa chama cha Democratic amesema, madai ya rais wa nchi hiyo Donald Trump kuhusu kuangamizwa mpango wa nyuklia wa Iran hayana ukweli.
-
Watumiaji wa kigeni wa mitandao ya kijamii: Grossi ni kikaragosi cha Mossad dhidi ya Iran
Jun 28, 2025 02:44Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) Rafael Grossi ameshambuliwa vikali na watumiaji wa kigeni wa mitandao ya kijamii kwa kushirikiana na Marekani na utawala haramu wa Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hasa baada ya kutaka kuruhusiwa maafisa wa shirika hilo kuingia Iran na kukagua miradi ya nishati ya nyuklia iliyoshambuliwa na Marekani.
-
Washington yakasirishwa na kufichuliwa ripoti ya siri ya uongo wa Trump kuhusu Iran
Jun 26, 2025 12:28Kufichuliwa ripoti ya siri kuhusu kufeli mashambulizi ya Marekani dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran kumewakasirisha maafisa wa serikali ya Washington.
-
Donald Trump, Rais wa vita
Jun 25, 2025 07:39Baada ya hujuma ya hivi majuzi ya kijeshi ya Marekani dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran, gazeti la Russia limemtaja Donald Trump kuwa "Rais wa Vita".
-
BRICS: Mashambulizi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran ni ukiukaji wa sheria za kimataifa
Jun 25, 2025 04:13Nchi wanachama wa kundi la BRICS zimelaani mashambulizi ya Marekani na utawala ghasibu wa Israel dhidi ya Iran na kuzitaja hatua hizo za kijeshi kuwa ni ukiukaji wa sheria za kimataifa na mkataba wa Umoja wa Mataifa.
-
Malaki waandamana Hague, Brussels kuonyesha mshikamano na Gaza
Jun 16, 2025 06:52Makumi ya maelfu ya watu waliovalia mavazi mekundu wameandamana katika mitaa ya mji wa Hague nchini Uholanzi na mjini Brussels huko Ubelgiji kuonyesha mshikamano na Wapalestina wa Gaza sanjari na kushinikiza hatua zaidi kutoka kwa serikali zao dhidi ya mauaji ya kimbari katika eneo hilo la Palestina lililozingirwa.
-
Balozi wa Marekani Israel: Nilikimbilia kwenye mahandaki mara tano jana usiku
Jun 14, 2025 07:18Balozi wa Marekani huko Israel amesema kwamba usiku uliopita ulikuwa usiku mzito sana kwake wakati Iran ilipofanya mashambulizi ya kulipiza kisasi na kupiga maeneo muhimu na nyeti ya Israel kiasi kwamba yeye na wenzake walilazimika kukimbilia kujificha kwenye mahandaki mara tano kwa hofu ya makombora ya Iran.
-
Dunia yalaani mashambulio ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Iran
Jun 13, 2025 22:52Hujuma za mapema alfajiri ya jana za utawala wa Kizayuni dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zimeendelea kulaaniwa katika kila pembe ya dunia.