-
Korea Kaskazini, China, Russia: Tuko pamoja na Iran
Jun 13, 2025 22:52Nchi za Korea Kaskazini, China na Russia zimetangaza kuwa ziko pamoja na Iran katika mashambulizi ya jana Ijumaa ya Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Zaidi ya watu 200 waaga dunia katika ajali ya ndege ya abiria nchini India
Jun 12, 2025 08:57Ndege ya India, Air India, iliyokuwa inaelekea London ikiwa na abiria 242 imepata ajali na kuanguka dakika chache tu baada ya kupaa kutoka mji wa magharibi mwa India wa Ahmedabad Alkhamisi.
-
Waandamanaji 330 watiwa mbaroni Los Angeles Marekani
Jun 12, 2025 07:12Msemaji wa Ikulu ya Marekani amezungumzia hali ya mji wa Los Angeles baada ya kuzuka maandamano makubwa ya wananchi dhidi ya sera za uhamiaji za utawala wa Trump na kuosema kuwa, hadi hivi sasa wahajiri 330 wametiwa mbaroni mjini Los Angeles (pekee) ikiwa ni sehemu ya kukandamiza kilio cha wananchi.
-
IOM: Haiti inakabiliwa na janga la kihistoria la wakimbizi wa ndani huku machafuko yakizidi kupanuka
Jun 11, 2025 22:40Idadi ya watu waliolazimika kuyakimbia makazi yao ndani ya Haiti imefikia takriban milioni 1.3, ikiwa ni ongezeko la asilimia 24 tangu Desemba 2024, na sasa ndiyo idadi kubwa zaidi kuwahi kurekodiwa kutokana na machafuko nchini humo, kwa mujibu wa taarifa ya Jumatano kutoka Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM).
-
Marufuku ya kutembea usiku yatangazwa Los Angeles. maandamano yaenea Marekani
Jun 11, 2025 09:35Watawala wa jiji la Los Angeles wametangaza marufuku ya kutembea usiku katikati mwa jiji hilo ili kudhibiti maandamano yanayochochewa na msako mkali dhidi ya wahamiaji, hali ambayo sasa imeenea hadi miji mingine ya Marekani.
-
Pep Guardiola asikitishwa sana na masaibu ya Wapalestina Gaza
Jun 11, 2025 09:04Pep Guardiola, Kocha wa timu ya Manchester City nchini Uingereza, ameelezea kwa uchungu hali ya mateso ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza, akisema ni jambo linalomuumiza sana kila anapofikiria yanayoendelea katika eneo hilo.
-
Utafiti: Uislamu ndiyo dini inayokuwa kwa kasi zaidi duniani
Jun 11, 2025 04:23Utafiti mpya umebainisha kuwa, idadi ya Waislamu duniani imeongezeka zaidi kuliko dini nyingine zote kwa pamoja, katika kipindi cha muongo mmoja uliopita.
-
Trump atumia jeshi la wanamaji kukandamiza maandamano Los Angeles
Jun 10, 2025 23:30Serikali ya rais wa Marekani, Donald Trump, imechukua hatua ya kushangaza kwa kupeleka wanajeshi wa Jeshi la Wanamaji (Marines) jijini Los Angeles ili kuzuia maandamano ya barabarani dhidi ya misako ya wahamiaji, hali ambayo imezua ghadhabu kubwa miongoni mwa umma na kuibua hofu ya mgogoro wa kitaifa.
-
Kwa nini wimbi la uungaji mkono kwa Palestina linaongezeka barani Ulaya?
Jun 10, 2025 22:43Roma, mji mkuu wa Italia, Jumamosi iliyopita ulishuhudia mojawapo ya maandamano makubwa zaidi dhidi ya Israel barani Ulaya.
-
WHO: Virusi vya Mpox bado ni tishio la afya kimataifa
Jun 10, 2025 08:32Shirika la Afya Duniani (WHO), limetangaza kuwa, virusi vya Mpox bado ni tishio la afya kimataifa huku zaidi ya watu 37,000 wakiwa wameathirika na virusi hivyo.