-
Mtaalamu: Badala ya kusimamia haki, ICC inatumikia madola yenye nguvu
Mar 29, 2025 23:07Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC imepoteza uhalali wake kwa kutumikia maslahi ya kisiasa ya madola fulani. Hayo yameelezwa na Ali Hammoud, mtaalamu wa mahusiano ya kimataifa wa Kituo cha Mafunzo ya Kidiplomasia na Kimkakati (CEDS) chenye makao yake mjini Paris, Ufaransa.
-
Zelenskyy: Ukraine imepokea pendekezo jipya la Marekani kuhusu makubaliano ya madini
Mar 29, 2025 23:07Rais wa Ukraine amesema kuwa Kiev imepokea pendekezo jipya kutoka Marekani kuhusu makubaliano ya madini.
-
Taasisi ya Wanafikra ya Marekani: Trump hawezi kuishinda Ansarulllah ya Yemen
Mar 29, 2025 07:16Taasisi ya Kutetea Demokrasia (FDD) nyenye makao yake makuu huko Washington DC imezungumzia kushindwa serikali ya Donald Trump katika kukabiliana barabara na harakati ya Ansarullah ya Yemen na kusisitiza kuwa: Serikali ya Trump inakabiliwa na hitilafu kubwa za ndani kuhusu Yemen, na muhimu zaidi, kuhusiana na Iran; na jambo hii ni moja ya sababu inayoikwamisha Marekani kuibuka na ushindi huko Yemen.
-
Russia: BRICS kuanzisha mfumo wa malipo wa 'dijitali' kwa wanachama
Mar 28, 2025 23:42Waziri wa Fedha wa Russia amesema kuwa nchi wanachama wa kundi la BRICS zinachunguza hatua kadhaa za ubunifu wa kifedha ikiwemo kuanzisha mfumo wa malipo wa kidijitali ili kutoa huduma za kifedha ndani ya kambi hiyo ya kiuchumi.
-
Tahadhari kuhusu kukamatwa wanafunzi wanaoiunga mkono Palestina nchini Marekani
Mar 28, 2025 23:42Tovuti ya Axios imeonya kuhusu kuendelea kukamatwa wanafunzi wa vyuo vikuu wanaoiunga mkono na kuitetea Palestina nchini Marekani.
-
Ufaransa: Kesi ya Sarkozy na "dili" la nyuma ya pazia na Gaddafi yaendelea
Mar 28, 2025 23:41Kesi inayoendelea kwa miezi kadhaa ya rais wa zamani wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy kuhusu madai ya kufadhili kampeni yake ya urais mwaka 2007 kinyume cha sheria, sasa imeangazia mazungumzo ya siri ya Ufaransa na serikali ya kiongozi wa zamani wa Libya, Muammar Gaddafi.
-
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Glasgow wagoma kula katika kuihami Gaza
Mar 28, 2025 08:08Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha serikali cha Glasgow, Scotland wamefanya mgomo wa kula wakilalamikia ushirikiano wa chuo hicho na makampuni yanayotengeneza silaha kwa ajilii ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Marekani na Ulaya zashindwa kukabiliana na changamoto za kimataifa
Mar 28, 2025 02:34Mark Rutte, Katibu Mkuu wa NATO amesisitiza juu ya umoja wa pande mbili za Bahari ya Atlantiki na kusema kuwa changamoto za kiusalama duniani ni kubwa kiasi kwamba Ulaya na Marekani pake yazo haziwezi kukabiliana nazo.
-
Rais Putin: Watu wa Magharibi hawaielewi Russia
Mar 27, 2025 22:57Rais Vladimir Putin amesema baadhi ya watu katika nchi za Magharibi hawaielewi Russia, lakini amesisitiza kuwa ukweli huo hauwezi kutatiza hata kidogo ustawi na maendeleo ya nchi hiyo.
-
Kukiri jamii ya ujasusi ya Marekani kwamba Hamas haijashindwa huko Gaza
Mar 27, 2025 22:57Ripoti kuhusu vitisho ambayo hutolewa kila mwaka na jamii ya masuala ya ujasusi ya Marekani imekiri kwamba kundi la muqawama wa Palestina la Hamas huko Gaza halijashindwa bado na kwamba linaendelea kudumisha nguvu, wapiganaji na miundombinu yake.