-
Cuba: Uhamiaji umekuwa biashara kwa Marekani
Mar 27, 2025 22:56Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba amepinga viza ya kadi ya dhahabu ya kupewa makazi mkabawa wa dola milioni tano ya Marekani, na kuituhumu serikali ya Trump kwa kutumia suala la uhamiaji kama biashara, kwa kuuza nyumba na kuwafukuza wahamiaji haramu.
-
Trump asaini amri ya kubadilisha mfumo wa uchaguzi na upigaji kura Marekani, apingwa vikali
Mar 27, 2025 02:26Rais wa Marekani Donald Trump amesaini amri ya kiutekelezaji ya kubadilisha mfumo wa uchaguzi na upigaji kura wa nchi hiyo, inayojumuisha sharti la uthibitisho wa uraia kwa usajili wa wapiga kura.
-
Kutozwa ushuru wa asilimia 25 na Marekani kwa nchi zinazonunua mafuta ya Venezuela
Mar 27, 2025 02:19Rais Donald Trump wa Marekani ametangaza kutoza ushuru wa asilimia 25 kwa biashara yoyote na nchi zinazonunua mafuta na gesi ya Venezuela. Ameelezea ushuru huu kama jibu la kutumwa Marekani wanachama wa genge la uhalifu la "Tren de Aragua".
-
Takriban watu 1,400 wametiwa mbaroni huku maandamano yakiendelea Uturuki licha ya kupigwa marufuku
Mar 26, 2025 04:24Mamlaha husika nchini Uturuki zimewatia mbaroni waandamanaji zaidi ya 1,400 huku maandamano ya mitaani yakiendelea kushuhudiwa katika miji mikubwa ya nchi hiyo kupinga marufuku ya kuandamana kufuatia kufungwa jela Meya wa mji wa Istanbul, Ekrem Imamoglu kwa tuhuma za ufisadi, kuongoza genge la uhalifu, utovu wa nidhamu na mengineyo.
-
China yaitaka Syria iunde serikali shirikishi na ipambane na ugaidi
Mar 26, 2025 04:11Mwakilishi wa Kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa amewataka viongozi wa mpito wa Syria waandae mchakato wa kuasisi serikali shirikishi na wachukua hatua madhubuti za kupabana na ugaidi nchini humo.
-
Oxfam: Israel imegeuza njaa kuwa silaha ya vita/dunia inashiriki katika jinai Gaza kwa kunyamaza kimya
Mar 26, 2025 04:08Sambamba na kushtadi mashambulizi ya anga na nchi kavu ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza; Shirika la Kimataifa la Oxfam limetangaza katika ripoti yake kuwa Israel kwa mpangilio maalumu inatumia njaa kama silaha ya vita dhidi ya raia wasio na hatia wa eneo hilo.
-
Kashfa ya usalama wa Marekani; taarifa nyeti za kijeshi kuhusu Yemen zavuja
Mar 25, 2025 23:10Kosa kubwa la utawala wa Trump katika kutumia mtandao usio na usalama kabla ya kuishambulia Yemen limezusha wimbi la wasiwasi katika duru za kisiasa na kijasusi za nchi hiyo.
-
Upinzani wa serikali ya Trump dhidi ya hatua za Ulaya za kupinga Russia
Mar 25, 2025 23:09Baada ya kuchaguliwa tena kwa mara ya pili Rais Donald Trump wa Marekani sasa amegeukia mazungumzo ya moja kwa moja na Russia nchini Saudi Arabia ili kutimiza ahadi aliyotoa ya kuhitimisha vita huko Ukraine ambapo jumbe za Marekani na Russia tayari zimefanya duru ya pili ya mazungumzo huko Riyadh Saudi Arabia kuhusiana na suala hilo.
-
Wimbi jipya la maandamano dhidi ya Uzayuni barani Ulaya
Mar 25, 2025 06:38Maandamano makubwa yamefanyika huko Paris mji mkuu wa Ufaransa na katika miji mingine ya Ulaya kupinga duru mpya ya mashambulizi ya Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Maelfu waandamana mjini London katika Siku ya Kimataifa Quds kutetea Palestina
Mar 25, 2025 02:58Maandamano ya Siku ya Quds ya Kimataifa mwaka huu yamefanyika mapema jijini London Jumapili, Machi 23, na kuvutia maelfu ya washiriki kutoka nyanja mbalimbali ili kutetea haki za Wapalestina na kulaani jinai za utawala haramu wa Israel