-
Mapatano mapya ya nchi za Umoja wa Ulaya dhidi ya Russia
Mar 24, 2025 07:04Kwa kutilia maanani jaribio la utawala wa Trump la kuanzisha usitishaji vita nchini Ukraine kwa kuilazimisha ikubali masharti yaliyowekwa na Russia na upinzani wa nchi za Umoja wa Ulaya dhidi ya suala hili, na kwa upande mwingine madai ya baadhi ya viongozi wa Ulaya kuhusu vitisho vya Russia dhidi ya bara hilo, nchi hizo sasa zimechukua hatua mpya kwa ajili ya kukabiliana na Moscow.
-
Peskov: Ulaya inashadidisha mzozo wa Ukraine kwa kuzidisha misaada yake ya kijeshi kwa nchi hiyo
Mar 24, 2025 04:28Msemaji wa ikulu ya Russia (Kremlin) ametangaza kuwa Ulaya inachagiza mzozo wa UKraine kwa kuzidisha misaada ya kijeshi kwa nchi hiyo badala ya kutatua vyanzo vya mzozo huo.
-
Mawakili 77 wa Ujerumani waitaka serikali iheshimu hukumu ya ICC ya kumkamata Netanyahu
Mar 23, 2025 23:01Mawakili 77 mashuhuri wa Ujerumani wametoa tamko la kuunga mkono uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC wa kuagiza waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu akamatwe na kuitaka serikali ya shirikisho ya Ujerumani iheshimu uamuzi huo.
-
Serbia: Tunakabiliwa na 'mapinduzi ya rangi' ya Magharibi
Mar 23, 2025 07:19Naibu Waziri Mkuu wa Serbia, Aleksandar Vulin amesema nchi hiyo ya eneo la Balkan inawajihiwa na tishio la "mapinduzi ya rangi" kutoka nchi za Magharibi.
-
Rais wa Mexico ampokea rasmi balozi mpya wa Palestina
Mar 22, 2025 23:17Rais wa Mexico, Claudia Sheinbaum amepokea rasmi hati za utambulisho za Balozi wa Palestina Nadya R. H. Rasheed katika Ikulu ya Mexico City.
-
Balozi wa Trump: Russia haitaki kushambulia Ulaya
Mar 22, 2025 23:10Mjumbe maalum wa Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati (Asia Magharibi), Steve Witkoff amepuuzilia mbali madai kwamba Russia ina nia ya kuzivamia nchi nyingine za Ulaya, akisisitiza kuwa hofu hizo ni za "kipuuzi".
-
Trump atahadharishwa: Vita na Iran havifanani na utembeaji kwenye 'maonyesho ya mitindo'
Mar 22, 2025 07:57Ted Galen Carpenter, mchambuzi mashuhuri wa masuala ya kijeshi wa Marekani amemtahadharisha rais wa nchi hiyo Donald Trump na matokeo hatari ya kuanzisha vita dhidi ya Iran.
-
China yaionya Marekani, yaitaka iache kuingilia ushirikiano wake wa kibiashara na Iran
Mar 22, 2025 07:46Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China ameionya Marekani kwa kuitaka iache kuingilia ushirikiano wa kibiashara na kiuchumi kati ya China na Iran.
-
Waziri Mkuu wa Canada: Hatimaye Trump ataonyesha heshima kwetu na atataka mazungumzo
Mar 22, 2025 07:41Waziri Mkuu wa Kanada Mark Carney amesema mazungumzo mapana ya kibiashara baina ya nchi yake na Marekani hayatafanyika mpaka pale Trump atakapoonyesha heshima kwa uhuru na mamlaka ya kujitawala ya Canada.
-
Google kutumia majasusi wa Israel waliohusika na mauaji ya kimbari ya Gaza
Mar 22, 2025 03:50Kampuni ya Google mapema wiki hii ililipa dola bilioni 32 ili kununua kampuni ya Israel ya usalama wa mtandao, Wiz, ambayo inaendeshwa na wafanyakazi wa zamani wa Unit 8200, kitengo maalumu cha upelelezi wa mtandao cha jeshi la Israel.