-
UN: Vifo vya wahamiaji vilivunja rekodi mwaka jana, karibu 9,000 wamekufa
Mar 22, 2025 01:05Takwimu mpya zilizotolewa na Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) zinaonyesha kuwa, karibu watu 9,000 walikufa mwaka jana wakijaribu kuvuka mipaka.
-
Wanachama wa EU wakubaliana kuongeza nguvu za kijeshi mkabala wa Russia
Mar 22, 2025 01:03Waziri Mkuu wa Poland amesema kuwa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa zimekubaliana hadi kufikia mwaka 2030 kuongeza uwezo wao wa kijeshi ili kuweza kukabiliana na mshambulizi yoyote ya Russia.
-
UN, EU zataka kusitishwa vita Gaza huku Israel ikifanya mashambulizi mapya
Mar 22, 2025 01:02Umoja wa Mataifa na Umoja wa Ulaya zimetoa wito wa kusitishwa mara moja mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel huko Gaza, huku Israel ikianzisha tena vita vya mauaji ya kimbari kwenye ukanda huo.
-
Serikali Uturuki yawaonya waandamanaji, wapinzani waapa kuyaendeleza
Mar 22, 2025 01:01Serikali ya Uturuki imeonya dhidi ya wito iliosema ni "haramu" wa kambi ya upinzani kufanya maandamano mitaani ili kupinga kukamatwa Meya wa Istanbul, Ekrem Imamoglu, kufuatia maandamano ya maelfu ya watu kote nchini katika muda wa siku mbili zilizopita.
-
Taathira za kisaikolojia zinazotokana na usomaji wa Qur'ani Tukufu
Mar 21, 2025 12:22Mtaalamu mmoja wa masuala ya kifamilia amesema kuhusu taathira za kusoma Qur'ani Tukufu kwa mtazamo wa saikolojia kuwa: Kusoma maandishi ya Aya za Qur'ani na kuyazingatia kwa kina hutuliza moyo wa msomaji na hivyo kumpa somo la kujifahamu; kwa njia ambayo humfanya apate kutambua vizuri uwezo na udhaifu wake katika mazingira tofauti.
-
Ghana: Dunia inamwaga mabilioni ya dola kwenye vita wakati mamilioni wanateseka kwa njaa
Mar 20, 2025 23:51Waziri wa Mambo ya Nje wa Ghana Samuel Okudzeto Ablakwa amesema, matumizi ya kupindukia ya masuala yanakengeusha rasilimali muhimu za ulimwengu ambazo ingepasa zitumike kwa mahitaji ya kibinadamu.
-
Maandamano yarindima Meya wa Istanbul, hasimu wa Rais wa Uturuki alipokamatwa
Mar 19, 2025 23:39Maelfu ya wananchi wa Uturuki wamemiminika barabarani kulalamikiwa kutiwa mbaroni Meya wa Istanbul, Ekrem Imamoglu, mpinzani mkuu wa kisiasa wa Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ambaye amekamatwa kwa tuhuma za rushwa na ugaidi; siku chache kabla ya kuteuliwa kuwa mgombea wa urais.
-
Mdororo wa uchumi Ujerumani; Siemens kuwafuta kazi watu 6,000
Mar 19, 2025 23:38Kampuni kubwa ya masuala ya uhandisi na teknolojia ya Siemens imesema inapania kupunguza kazi karibu 6,000 duniani kote, zikiwemo 2,850 nchini Ujerumani.
-
"Jina langu ni Mahmoud Khalil, mimi ni mfungwa wa kisiasa"
Mar 19, 2025 04:15Mahmoud Khalil, mwanafunzi wa Kipalestina katika Chuo Kikuu cha Columbia nchini Marekani, amejieleza kama mfungwa wa kisiasa katika maoni yake ya kwanza tangu alipokamatwa na vyombo vya usalama vya Marekani kwa madai ya kuhusika katika maandamano ya watetezi wa Palestina.
-
Adhanom: Kukatwa misaada ya Marekani kunatishia maisha ya mamilioni ya watu
Mar 19, 2025 04:10Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ameonya kwamba kukatwa ufadhili wa Marekani kwa shirika hilo, mipango yake ya afya na mashirika mengine kunatishia uhai wa mamilioni ya watu.