-
Katibu Mkuu wa UN asema ameshtushwa na mashambulio mapya ya Israel Ghaza
Mar 19, 2025 00:46Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema, ameshtushwa na mashambulizi ya hivi karibuni ya anga yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Ghaza yaliyoua shahidi mamia ya Wapalestina wakiwemo watoto na wanawake.
-
Haki za binadamu; Chombo kinachohudumia maslahi ya kitaifa ya Marekani
Mar 19, 2025 00:41Moja ya nyadhifa muhimu za kutumia haki za binadamu kama wenzo katika sera ya mambo ya nje ya Marekani ni kuhalalisha sera za nchi hiyo katika sehemu mbalimbali za dunia.
-
Nafasi ya nchi za Magharibi katika kuupatia utawala wa Saddam silaha za kemikali
Mar 18, 2025 10:36Katika kumbukumbu ya miaka 37 ya maafa makubwa ya mashambulizi ya mabomu ya kemikali huko Halabja, waathiriwa wa maafa hayo ya binadamu wamekumbukwa katika mahfali na vikao mbalimbali.
-
Ubelgiji yajibu: Wanadiplomasia wa Rwanda hawatakiwi nchini mwetu
Mar 18, 2025 07:59Ubelgiji imejibu hatua ya Rwanda ya kukata uhusiano wake wa kidiplomasia na nchi hiyo ya Ulaya na kusema kuwa, wanadiplomasia wa Rwanda wanapaswa kuondoka nchini Ubelgiji. Hatua hiyo imekuja huku uhusiano baina ya nchi hizo mbili ukizidi kuharibika kutokana na mgogoro wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).
-
EU na Uingereza kuongeza mashinikizo dhidi ya Russia
Mar 18, 2025 07:58Wizara ya Mambo ya Nje ya Uingereza imesema kuwa, kutafanyika kikao baina yao na mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya ili kuzidisha mashinikizo ya kiuchumi dhidi ya Russia.
-
EU: Trump ni janga baya zaidi kwa dunia kuliko hata Corona
Mar 17, 2025 22:42Naibu wa Gavana wa Benki Kuu ya Umoja wa Ulaya amesema kuwa, rais wa Marekani, Donald Trump amesababisha kukosekana utulivu katika ghughuli za kiuchumi na rais huyo ni janga baya zaidi kuliko hata janga la Corona la miaka mitano iliyopita.
-
Rais wa China akataa mwaliko wa EU wa kuhudhuria kikao cha kuadhimisha miaka 50 ya uhusiano
Mar 17, 2025 02:06Rais Xi Jinping wa China amekataa mwaliko wa kuhudhuria kikao kilichopangwa kufanyika mjini Brussels kuadhimisha miaka 50 ya uhusiano wa kidiplomasia kati ya nchi yake na Umoja wa Ulaya.
-
Kwa nini Israel na Marekani zinaeneza chuki dhidi ya Uislamu kwa kutumia vibaya vyombo vya habari?
Mar 16, 2025 23:08Utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani pamoja na baadhi ya nchi za Ulaya zimeendeleza vitendo vyao vya uharibifu na kuiondoa Televisheni ya Al-Aqsa katika satalaiti zote za kimataifa kwa lengo la kubana uhuru wa kujieleza.
-
Zakharova: Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani bado anakabiliwa na vikwazo vya Russia
Mar 16, 2025 22:50Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani, hajaondolewa kwenye orodha ya vikwazo ya Russia, na kila kinachosemwa kuhusu suala hili ni uongo.
-
Moto waua 50 katika ukumbi wa starehe Macedonia Kaskazini
Mar 16, 2025 08:02Moto uliokumba klabu ya anasa katika mji wa Kocani, Macedonia Kaskazini usiku wa manane wa kuamkia leo umesababisha makumi ya watu kuaga dunia na kujeruhiwa, kulingana na ripoti za vyombo vya habari vya ndani.