Dunia
  • Wacanada wenye hasira wamjibu kivitendo Donald Trump

    Wacanada wenye hasira wamjibu kivitendo Donald Trump

    Mar 08, 2025 07:47

    sambamba na hatua ya rais wa Marekani, Donald Trump, ya kuongeza mashinikizo kwa Ottawa nwa vitisho vyake vya kuiteka Canada na kuijumuisha kwenye majimbo ya Marekani, wananchi wenye hasira wa Canada nao wameamua kutokaa kimya na wameanza kwa nguvu kutekeleza vikwazo dhidi ya bidhaa za Marekani.

  • "Kutokomeza umaskini miongoni mwa wanawake kutachukua miaka 130"

    Mar 08, 2025 03:30

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres ameashiria matatizo yanayoendelea kuwakabili wanawake na wasichana duniani kote, akionya kwamba "kutokomeza umaskini uliokithiri miongoni mwa wanawake na wasichana kutachukua miaka 130."

  • China yaituhumu Marekani kuwa na sera za nyuso mbili

    China yaituhumu Marekani kuwa na sera za nyuso mbili

    Mar 08, 2025 03:29

    Wizara ya Mambo ya Nje ya China imeutuhumu utawala wa Rais wa Marekani, Donald Trump kwa kufuata sera za " nyuso mbili" na kuahidi "kukabiliana kwa uthabiti" na mashinikizo yanayoongezeka ya vikwazo, huku mvutano kati ya nchi hizo mbili zenye nguvu za kiuchumi ukiendelea kutokota.

  • Russia: Israel haina haki ya kuzungumzia miradi ya nyuklia ya Iran

    Russia: Israel haina haki ya kuzungumzia miradi ya nyuklia ya Iran

    Mar 08, 2025 00:54

    Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika Mashirika ya Kimataifa mjini Vienna, Mikhail Ulyanov, amesema kuwa utawala wa Israel hauna haki ya kutoa maoni kuhusiana na mpango wa amani wa nyuklia wa Iran.

  • Trump na kukandamizwa uhuru wa kusema huko Marekani

    Trump na kukandamizwa uhuru wa kusema huko Marekani

    Mar 08, 2025 00:53

    Gazeti la Marekani la Washington Post limeandika makala likiashiria amri za utendaji zilizotolewa na Rais wa Marekani, Donald Trump, tangu aingie madarakani na kusema: Wakosoaji wanamtuhumu kuwa anakandamiza sana uhuru wa kujieleza na kukiuka Katiba ya Marekani.

  • India: BRICS haina msimamo wa pamoja kuhusu suala la kuachana na sarafu ya dola ya Marekani

    India: BRICS haina msimamo wa pamoja kuhusu suala la kuachana na sarafu ya dola ya Marekani

    Mar 07, 2025 03:13

    Waziri wa Mambo ya Nje wa India Subrahmanyam Jaishankar amesema, dhana ya kwamba kundi la mataifa ya BRICS linafanya juu chini kukabiliana na sarafu ya dola ya Marekani "haijathibitishwa na ukweli" na akaongeza kuwa, India hasa kwa upande wake "haina nia hata kidogo ya kuidhoofisha sarafu hiyo.

  • White House yakiri: US imefanya mazungumzo ya moja kwa moja na HAMAS

    White House yakiri: US imefanya mazungumzo ya moja kwa moja na HAMAS

    Mar 06, 2025 23:02

    Ikulu ya White House imethibitisha ripoti inayodai kuwa Marekani imefanya mazungumzo ya moja kwa moja na Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas, yenye makao yake katika Ukanda wa Gaza.

  • Wanachuo US walaani ukatili dhidi ya waandamanaji wanaounga mkono Palestina

    Wanachuo US walaani ukatili dhidi ya waandamanaji wanaounga mkono Palestina

    Mar 06, 2025 23:02

    Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Columbia cha Marekani wamekosoa vikali jinsi uongozi wa chuo hicho unavyoshughulikia maandamano ya waungaji mkono wa Palestina, wakiushutumu uongozi huo kwa kusaliti jukumu lale na kuwadhaminia usalama wanafunzi na uhuru wao wa kujieleza.

  • Timu ya Trump yakutana kwa siri na wapinzani wa rais wa Ukraine

    Timu ya Trump yakutana kwa siri na wapinzani wa rais wa Ukraine

    Mar 06, 2025 06:27

    Marekani inaendelea kuishinikiza serikali ya Ukraine ili ikubali kukabidhi utajiri wake wa madini ya kipekee mikononi mwa viongozi wa White House na sasa timu ya Donald Trump imekutana kwa siri na wapinzani wa rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy.