-
Mpango wa Ulaya wa kujibu mapigo kwa hatua ya upande mmoja ya Trump kuhusiana na vita vya Ukraine
Mar 06, 2025 03:53Viongozi wa nchi za Ulaya wameamua kuchukua hatua zaidi za kuandaa mkakati wa kuwa na mpango huru na wa kujitegemea kiulinzi kufuatia msimamo na uamuzi wa upande mmoja uliochukuliwa na Marekani kuhusiana na vita vya Ukraine.
-
The Guardian: Marekani inashikiliwa mateka na kundi la majambazi wa mrengo wa kulia
Mar 06, 2025 01:52Gazeti la The Guardian limemtaja Rais wa Marekani, Donald Trump, kuwa ni mhubiri wa "utovu wa maadili" duniani.
-
Russia yaitaka Ulaya iache vitisho dhidi ya Iran
Mar 05, 2025 22:59Russia imekosoa vikali vitisho vya Uingereza, Ufaransa na Ujerumani vya kuamilisha mchakato wa kurejesha vikwazo dhidi ya Iran na kutaja msimamo huo kuwa wa "kutowajibika" na "ulio kinyume cha sheria".
-
Trump: Wanafunzi wanaoshiriki maandamana ya kuunga mkono Palestina wataadhibiwa
Mar 05, 2025 06:36Rais Donald Trump wa Marekani, ametishia kusitisha ufadhili wa serikali ya shirikisho kwa vyuo vikuu au taasisi zozote za elimu zinazoruhusu “maandamano haramu” kufanyika, akisema atachukua hatua kali dhidi ya wanafunzi wanaoshiriki maandamano hayo.
-
Jaji wa Kijapani achaguliwa kuwa rais wa ICJ, atasimamia kesi ya mauaji ya kimbari ya Israel
Mar 05, 2025 06:25Mahakama ya juu ya Umoja wa Mataifa imemchagua jaji wa Kijapani kuwa rais wake mpya, akichukua nafasi ya Nawaf Salam aliyeng’atuka madarakani Januari ili kuwa waziri mkuu wa Lebanon.
-
Mkutano wa London, maonyesho ya nguvu na uungaji mkono kwa Ukraine bila dhamana ya utekelezaji
Mar 05, 2025 00:46Siku mbili baada ya kufedheheshwa Rais Zelensky wa Ukraine katika Ikulu ya White House na suala hilo kuakisiwa pakubwa kimataifa, viongozi wa nchi 19 za Ulaya, Canada na maafisa wa ngazi za juu wa Umoja wa Ulaya na muungano wa NATO wamekutana mjini London kwa ajili ya kutangaza mshikamano wao na Ukraine katika vita vyake na Russia.
-
Viongozi wa Ulaya waumizwa na kusitishwa msaada wa kijeshi wa Marekani kwa Ukraine
Mar 05, 2025 00:42Uamuzi wa Marekani wa kusita kuipa Ukraine silaha umepata majibu tofauti kutoka kwa viongozi wa nchi za Ulaya.
-
China yajibu mapigo dhidi ya ushuru mpya wa Trump
Mar 04, 2025 08:09China imetangaza kujibu mapigo ya ushuru uliotangazwa dhidi ya nchi hiyo na Rais Donald Trump wa Marekani.
-
BBC yashinikizwa baada ya kufuta filamu kuhusu watoto wa Gaza
Mar 04, 2025 04:22Watayarishi wa vipindi vya televisheni na filamu nchini Uingereza wamewataka wabunge wa Uingereza kuwahoji viongozi wa BBC kuhusu uamuzi wa shirika hilo la utangazaji la Uingereza kuondoa filamu ya kweli inayohusu maisha ya watoto Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Korea Kaskazini yalaani uchokozi wa kijeshi wa Marekani
Mar 04, 2025 04:13Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Korea (DPRK) imelaani vikali uchokozi wa kisiasa na kijeshi wa Marekani baada ya meli ya kubeba ndege za kivita ya Jeshi la Wanamaji la Marekani kutia nanga katika bandari ya Busan, Korea Kusini.