-
Wachezaji Waislamu wa timu ya taifa ya Ufaransa wazuiwa kufunga Ramadhani
Mar 04, 2025 04:07Wachezaji wa soka Waislamu nchini Ufaransa wamepigwa marufuku kufunga wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani wanapokuwa wakifanya mazoezi na timu ya taifa.
-
UN: Tuna wasiwasi kuhusu mwelekeo wa White House
Mar 03, 2025 23:29Kamishna wa Haki za Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Turk ameelezea wasiwasi wake kuhusu mabadiliko ya mwelekeo yanayofanyika nchini Marekani katika uwanja wa ndani na kimataifa.
-
Misaada ya kijeshi na silaha ambayo haijawahi kutolewa mfano wake ya serikali ya Trump kwa utawala wa Kizayuni wa Israel
Mar 03, 2025 23:28Sambamba na Marekani kukata misaada yake kwa Ukraine, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio, siku ya Jumapili alitumia mamlaka ya dharura aliyonayo kisheria kupitisha mpango wa utoaji msaada wa shehena ya silaha zenye thamani ya dola bilioni 4 kwa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Marekani yaendelea kuteketea kwa moto, sasa ni Carolina
Mar 03, 2025 10:31Maelfu ya Wamarekani wametakiwa kuhama kwenye maeneo manane katika majimbo ya Carolina Kaskazini na Carolina Kusini kutokana na kutokea zaidi ya matukio 175 ya moto.
-
Sweden waandamana kupinga mpango wa Trump wa kuwafukuza Wapalestina Gaza
Mar 02, 2025 22:52Mpango usio wa kibinadamu wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kuwafukuza Wapalestina kutoka katika Ukanda wa Gaza umeendelea kupingwa kila kona ya ulimwengu.
-
Kuendelea hatua za kimataifa dhidi ya uvamizi wa Israel
Mar 02, 2025 22:52Katika kuendeleza mapambano na kupinga jinai za Israel dhidi ya Wapalestina, viongozi wa Afrika Kusini, Malaysia na Colombia wametangaza kuwa watazizuia meli zilizobeba silaha kwa ajili ya Israel kuingia katika bandari za nchi hizo.
-
Elon Musk aunga mkono kujiondoa Marekani katika UN, NATO
Mar 02, 2025 08:55Bilionea Elon Musk ametangaza hadharani kuunga mkono wazo la Marekani kujiondoa kutoka Umoja wa Mataifa UN na Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi NATO.
-
Ulazima wa kuheshimiwa haki za Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Afghanistan
Mar 02, 2025 06:56Suala la kuheshimiwa haki za Waislamu wa madhehebu ya Shia limesisitiza katika Kongamano Kuu la Mashia na jami ya walio wachache ya kabila la Hazara nchini Afghanistan, lililofanyika mjini Kabul likuhudhuriwa na maafisa wa Taliban.
-
Le Pen: Vita vya maneno katika Ikulu ya White House kofi la uso kwa Ulaya
Mar 02, 2025 03:07Marine Le Pen, kiongozi wa chama cha mrengo wa kulia wa Ufaransa, ameutaja mkutano wa hivi karibuni kati ya viongozi wa Ukraine na Marekani kuwa ni ishara ya utegemezi wa nchi za Ulaya kwa Marekani.
-
Njaa, magonjwa yanawatesa wakimbizi wa Rohingya, Trump apunguza misaada
Mar 01, 2025 23:02Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi, Filippo Grandi amesema kuwa, uamuzi wa utawala wa Trump huko Marekani wa kusitisha bajeti ya misaada ya kigeni utawaweka maelfu ya wakimbizi Waislamu wa Rohingya nchini Bangladesh, katika njaa na ukosefu mkubwa zaidi wa usalama.