-
Chama kikuu cha upinzani Marekani chalalamikia chama tawala kudhibiti tume ya uchaguzi
Mar 01, 2025 23:01Chama kikuu cha upinzani nchini Marekani kimemshitaki Donald Trump kwa kufanya njama za kuidhibiti tume ya uchaguzi ya nchi hiyo kwa manufaa ya chama tawala.
-
Mazungumzo yaliyogubikwa na mvutano mkubwa kati ya Trump na Zelensky
Mar 01, 2025 10:06Viongozi wenye mielekeo ya Kimagharibi wa Ukraine waliipa mgongo Russia baada ya matukio ya mwaka 2014 na kuingia madarakani serikali kibaraka kwa Magharibi huko Ukraine kwa himaya na msaada wa pande zote wa nchi za magharibi hususan Marekani na Ulaya; na walitaka nchi hiyo kujiunga na Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) na Umoja wa Ulaya (EU) na kukata uhusiano na Russia.
-
Mmarekani apatikana na hatia ya kumuua mtoto wa Kipalestina, Wadea Al-Fayoume
Mar 01, 2025 08:28Baraza la majaji katika jimbo la Illinois nchini Marekani limemtia hatiani raia wa nchi hiyo kwa kosa la mauaji na uhalifu wa chuki katika tukio la Oktoba 2023 la kumchoma kisu na kumuua mtoto aliyekuwa na umri wa miaka 6 Mpalestina - Marekani, Wadea Al-Fayoume na kumjeruhi vibaya mama yake, Hanaan Shahin.
-
Guterres: Israel haipaswi kuwa na uwepo wa kijeshi wa muda mrefu huko Gaza
Mar 01, 2025 07:06Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kwamba jeshi la Israel halipaswi kuwepo kwa muda mrefu huko Gaza na kwamba vielelezo vyote vya kufuta kabisa kizazi cha Wapalestina lazima vikomeshwe.
-
Zelenskyy akataa kuomba msamaha kwa Trump; Asema: "sikufanya lolote baya"
Mar 01, 2025 06:37Rais wa Ukraine amekataa kuomba msamaha baada ya mabishano makali na majibizano ya maneno na mwenzake wa Marekani, Donald Trump katika Ikulu ya White House.
-
Nusra Trump na Zelensky waparurane katika Ikulu ya White House!
Mar 01, 2025 01:44Rais wa Marekani, Donald Trump na Makamu wake, JD Vance walitupiana vijembe na kushambuliana kwa maneno makali na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky katika Ikulu ya White House jana Ijumaa.
-
Baadhi ya Waislamu waanza funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani
Mar 01, 2025 00:25Baadhi ya mataifa ya Kiarabu na Kiislamu Jumamosi ya leo yameanza funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Kimenuka Marekani; Mawaziri wa zamani wa ulinzi wamjia juu Trump
Mar 01, 2025 00:18Mawaziri watano wa zamani wa ulinzi wa Marekani wamelaani hatua ya Rais wa nchi hiyo, Donald Trump ya kumfukuza kazi Mkuu wa Majeshi na maafisa wengine wakuu wa jeshi la Marekani.
-
Ulaya yakabiliwa na fedheha nyingine kutoka Marekani
Feb 28, 2025 23:27Ikiwa ni katika mwendelezo wa fedheha dhidi ya Ulaya, Marco Rubio, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, amefuta mkutano uliokuwa umepangwa kufanyika kati yake na Kaja Kallas, Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya.
-
Watu 5 wauawa katika mlipuko wa msikitini kaskazini magharibi mwa Pakistan
Feb 28, 2025 10:55Watu 5 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa katika mlipuko uliotokea katika Msikiti wa Chuo Kikuu cha Haqqaniyya kaskazini magharibi mwa Pakistan.