-
Guterres: Mwezi Mtukufu wa Ramadhani utumike kuleta amani
Feb 28, 2025 09:39Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametaka mwezi mtukufu wa Ramadhani utumiwe kwa ajili ya kuleta na kudumisha amani katika pembe mbalimbali za dunia hasa maeneo yanayokabiliwa na vurugu na machafuko.
-
Afrika Kusini, Malaysia na Colombia zapinga meli zenye silaha katika bandari zao kwa ajili ya Israel
Feb 28, 2025 04:02Viongozi wa Afrika Kusini, Malaysia na Colombia wametangaza katika jarida moja katika makala yao ya pamoja kwamba watazizuia meli zilizobeba silaha katika bandari za nchi hizo kwa ajili ya Israel.
-
Trump arefusha muda wa vikwazo dhidi ya Russia
Feb 28, 2025 04:01Rais wa Marekani Donald Trump ameongeza kwa mwaka mmoja mwingine muda wa amri ya utekelezaji vikwazo dhidi ya Russia.
-
Uchunguzi wa maoni: Chuki dhidi ya Uzayuni zimeongezeka Marekani
Feb 27, 2025 23:13Uchunguzi mpya wa maoni unaonyesha kuwa, hisia za chuki dhidi ya uuzayuni zimeongeza pakubwa nchini Marekani.
-
Sera za kinafiki za Marekani kuhusu matumizi ya nishati ya nyuklia
Feb 27, 2025 23:11Katika taarifa yake mpya kuhusu matumizi ya nishati ya nyuklia, Waziri wa Nishati wa serikali ya Marekani, Chris Wright, amesema kutokana na Marekani kuwa kinara katika masuala ya akili mnemba (artificial intelligence) na ili kuwashinda wapinzani katika teknolojia hii, nchi yake inahitaji kusambaza umeme kutoka kwenye vyanzo vya kuaminika na vya bei nafuu kama vile nishati ya nyuklia.
-
Trump: Ukraine 'isahau' kujiunga na NATO
Feb 27, 2025 07:29Rais wa Marekani Donald Trump amesema Ukraine "isahau" kujiunga na Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO), tamko ambalo ni pigo kwa azma ya muda mrefu ya nchi hiyo ya Ulaya, ambayo iliungwa mkono na Rais wa zamani Joe Biden.
-
Amnesty International yamkosoa kansela mtarajiwa wa Ujerumani kwa kumwalika Netanyahu
Feb 26, 2025 23:46Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limemkosoa vikali Friedrich Merz kansela mtarajiwa wa Ujerumani kwa kumualika Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni kuitembelea Ujerumani.
-
Mashtaka dhidi ya utawala wa Biden katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu
Feb 26, 2025 23:06Taasisi ya "Demokrasia kwa ajili ya Ulimwengu wa Kiarabu Sasa" (DAWN), imefungua mashtaka dhidi ya Rais wa zamani wa Marekani, Joe Biden na mawaziri wake wawili yaani waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Marekani, Anthony Blinken na waziri wa zamani wa ulinzi wa nchi hiyo Lloyd Austin katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, ikiitaka ianzishe uchunguzi dhidi ya viongozi hao kutokana na kusaidia uhalifu wa kivita wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Ubelgiji yalilaumu vikali Baraza la Usalama kwa kushindwa kulinda misingi ya Hati ya UN
Feb 26, 2025 08:08Naibu waziri mkuu wa Ubelgiji Maxime Prevot amesema "amesikitishwa sana" kuona Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeshindwa kutuma ujumbe wazi wa kuunga mkono sheria za kimataifa, na akatoa wito wa kuchukuliwa hatua kali zaidi za kimataifa za kulinda haki za binadamu na kuwawajibisha wakiukaji wa sheria.
-
Kura ya Marekani ya kupinga azimio la kuilaani Russia katika Umoja wa Mataifa
Feb 26, 2025 03:22Hatua ya Marekani ya kutopigia kura azimio la kuilaani Russia kwenye Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, imezusha makele mengi.