-
Kapteni wa Timu ya Taifa ya Bosnia: Kwa heshima ya haki na uadilifu tumekataa kuwapa mkono Waisraeli
Apr 05, 2026 05:37Kapteni wa timu ya taifa ya soka ya Bosnia na Herzegovina chini ya miaka 21 amesema kuwa kuheshimu haki na uadilifu ndiyo sababu iliyowazuia wachezaji wa timu hiyo kuwapa mkono wachezaji wa timu ya Israel.
-
Russia yalaani hujuma ya Marekani, Israel dhidi ya kituo cha nyuklia cha Bushehr
Apr 05, 2026 03:06Maria Zakharova, msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia, ametangaza kuwa Moscow inalaani vikali mashambulio ya hivi karibuni dhidi ya kituo cha Nyuklia cha Bushehr kilichoko kusini mwa Iran.
-
Askofu Mkuu wa Wakatoliki Jeshi la Marekani: Vita dhidi ya Iran haviendani na mafundisho ya Kikristo
Apr 04, 2026 04:22Afisa wa juu zaidi wa Kikatoliki katika Majeshi ya Marekani amesema kuwa vita dhidi ya Iran si vya haki na haviendani na mafundisho ya Kikristo.
-
Mwakilishi wa Texas: Kuwapiga mabomu watoto wasio na hatia katika shule ya Minab ni tusi kwa Yesu Kristo
Apr 03, 2026 06:35Mwanasiasa mtajika wa Marekani amelitaja shambulio lililofanywa na Washington dhidi ya Shule ya Msingi ya Shajarah Tayyiba huko Minab, kusini mwa Iran, kuwa ni dharau na dhihaka kwa Yesu Kristo (Isa Masih AS).
-
Waziri wa Vita wa Marekani awatimua majenarali baada ya kushindwa kwa vita dhidi ya Iran
Apr 03, 2026 04:58Waziri wa Vita wa Marekani, Pete Hegseth, amemlazimisha Mkuu wa Majeshi ya Marekani (Army Chief of Staff), Jenerali Randy George, kustaafu mara moja, huku kukiwa na mgogoro unaozidi kuongezeka ndani ya uongozi wa kijeshi nchini humo kufuatia kushindwa kwa vita dhidi ya Iran.
-
Imejaa uongo, udanganyifu: Wabunge wa Marekani wakosoa hotuba ya Trump kuhusu vita dhidi ya Iran
Apr 02, 2026 07:17Wabunge wa Marekani wamelaani hotuba ya Rais Donald Trump kwa taifa kutokana na kuwa na mchanganyiko wa ajabu wa udanganyifu na uongo kuhusu malengo na mafanikio yanayodaiwa katika vita vya uchokozi vya Washington na Tel Aviv dhidi ya Iran.
-
Mearsheimer: Kama kesi ya mtindo wa Nuremberg ingefanyika, Trump na Netanyahu wangenyongwa
Apr 02, 2026 07:15John Mearsheimer, profesa maarufu wa mahusiano ya kimataifa katika Chuo Kikuu cha Chicago, amesema kufuatia vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran na mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza kwamba: "Kama kungefanyika kesi kama ile ya Nuremberg, na Waisraeli na Wamarekani wakafikishwa mahakamani, Rais wa Marekani Donald Trump na Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu na washauri wao wengi wangehukumiwa kifo na kunyongwa."
-
Trump: NATO ni simbamarara wa karatasi, ninafikiria kujiondoa kwenye shirika hili
Apr 02, 2026 07:15Rais wa Marekani amesema kwamba Washington inafikiria kwa dhati kujiondoa kwenye Shirika la Kujihami la Nchi za Magharibi (NATO).
-
UN yaonya kuhusu ukandamizaji wa waungaji mkono wa Iran na vikwazo kwa vyombo vya habari
Apr 02, 2026 06:55Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amekosoa vikali na kuonya kuhusu ukandamizaji wa waungaji mkono wa Iran katika eneo la Magharibi mwa Asia kufuatia uchokozi wa Marekani na Israel dhidi ya nchi hiyo, pamoja na vikwazo dhidi ya uhuru wa vyombo vya habari huko Washington na Tel Aviv.
-
Shirika la Nishati la Kimataifa: Tatizo kubwa zaidi la mafuta katika historia liko njiani
Apr 02, 2026 06:55Mkuu wa Shirika la Nishati la Kimataifa (IEA) ameonya kwamba matatizo katika usambazaji wa mafuta na gesi yaliyosababishwa na vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran yamezidi mgogoro wa mafuta wa 1973 na 1979 na yameibua mshtuko mkubwa zaidi wa nishati katika historia.