-
Muigizaji wa Kihispania: Simulizi kuhusu mauaji ya kimbari ya Israel dhidi ya watu wa Gaza inabadilika
May 19, 2026 04:03Muigizaji maarufu wa Kihispania amesema kando ya Tamasha la Filamu la Cannes kwamba: Licha ya kampeni yake ya hadharani dhidi ya vita vya Israel na mauaji ya kimbari ya utawala huo huko Gaza, Palestina, anafanya kazi zaidi kuliko hapo awali, na hii ina maana ya kubadilika simulizi kuhusu vita vya Gaza.
-
Cuba yasisitiza haki yake ya kujilinda kufuatia tishio la hujuma ya kijeshi kutoka Marekani
May 18, 2026 11:47Balozi wa Cuba katika Umoja wa Mataifa amesisitiza haki ya nchi yake kujilinda dhidi ya uwezekano wowote wa uvamizi wa kijeshi kutoka Marekani, kwa mujibu wa sheria za kimataifa na Mkataba wa Umoja wa Mataifa.
-
FIFA yafanya mazungumzo “chanya” na Iran Kabla ya Kombe la Dunia 2026
May 18, 2026 04:37Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limesema mazungumzo ya hivi karibuni na maafisa wa soka wa Iran yalikuwa chanya na yenye kujenga, huku maandalizi ya kuelekea Kombe la Dunia la 2026 yakiendelea.
-
ICC yatoa hati “za siri” za kukamatwa kwa maafisa watano wa Israel
May 18, 2026 04:25Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) yenye makao yake The Hague imeripotiwa kutoa hati tano za “siri” za kukamatwa kwa maafisa wa utawala wa Israel, wakiwemo wanasiasa watatu na maafisa wawili wa kijeshi.
-
Mzimu wa Khashoggi bado unamwandama Bin Salman; Mahakama ya Ufaransa yaidhinisha uchunguzi kuhusu mauaji yake
May 17, 2026 02:43Jaji wa Ufaransa atachunguza mauaji ya mwandishi wa habari wa Saudi Arabia, Jamal Khashoggi mwaka 2018 kufuatia malalamiko yaliyowasilishwa na mashirika kadhaa ya kutetea haki za binadamu dhidi ya Mwanamfalme wa Saudi Arabia, Mohammed bin Salman.
-
Jeffrey Sachs: Walioishambulia Iran wanapasa kuarifishwa kama pande zilizoshindwa vitani
May 17, 2026 02:37Mchumi mashuhuri wa Marekani, anaamini kuwa kwa mujibu wa sheria za kimataifa, walioanzisha mashambulizi dhidi ya Iran wanapaswa kuarifishwa kama pande zilizoshindwa vitani; wamekiuka Mkataba wa Umoja wa Mataifa na wanawajibika kwa uharibifu na matokeo ya vita walivyovianzisha.
-
Kiongozi wa Wachache wa Seneti ya Marekani: Safari ya Trump nchini China Ilikuwa fedheha tupu
May 16, 2026 11:59Chuck Schumer, Kiongozi wa Wachache katika Seneti ya Marekani, amesema kwamba safari ya Rais Donald Trump nchini China haikuwa na mafanikio yoyote kwa watu wa Marekani na ilikuwa fedheha kamili.
-
Mashirika ya Kiislamu ya Marekani: Warepublican wamegeuza vikao vya Kongresi kuwa silaha dhidi ya Waislamu
May 16, 2026 02:21Mashirika ya Kiislamu nchini Marekani yametangaza kwamba vikao vya Kongresi, ambavyo wabunge wa Republican wametangaza kuwa lengo lake ni kuondoa Sharia nchini Marekani, vimekuwa silaha dhidi ya Waislamu waliowachache kwa kusababisha hofu dhidi ya wafusi wa dini hiiyo.
-
Mwanzo wa mpasuko wa kimkakati kati ya pande mbili za Atlantiki
May 15, 2026 10:16José Manuel Albares Bueno, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Uhispania, akisisitiza tena sera ya serikali ya nchi yake katika kupinga uvamizi wa kijeshi wa Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amesema: 'Marekani haiwezi kutumia vituo vyetu vya anga kwa ajili ya vita dhidi ya Iran.
-
Mahakama yasitisha vikwazo vya Marekani dhidi ya Albanese kwa kauli zake kuhusu mauaji ya kimbari Gaza
May 15, 2026 04:38Jaji wa mahakama ya shirikisho katika Wilaya ya Columbia nchini Marekani amesitisha vikwazo vilivyowekwa na serikali ya Marekani dhidi ya Francesca Albanese, Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu maeneo ya Palestina.