-
Rais Putin wa Russia: Ninaamini Mungu. Na Mungu yu pamoja nasi
Dec 27, 2024 03:00Rais Vladimir Putin wa Russia amesema, Mungu yuko pamoja na nchi yake akionyesha kujiamini kwamba Moscow itashinda katika mzozo wake na Ukraine.
-
Mielekeo tofauti inayoonyeshwa na nchi za Ulaya kuhusiana na jinai za Wazayuni inaashiria nini?
Dec 26, 2024 23:30Wakati Waziri Mkuu wa Ireland Simon Harris amesisitiza kwa mara nyingine tena mshikamano wa nchi yake na Palestina na kuyataja mauaji ya Wapalestina kuwa ni "utovu wa hisia za dhamiri na janga la kibinadamu", mkabala na matamshi hayo, serikali ya Ujerumani imetoa kibali cha kusafirisha na kuipelekea silaha Israel.
-
Ripoti: Zaidi ya wahamiaji 10,000 wamefariki dunia mwaka huu wakijaribu kufika Uhispania
Dec 26, 2024 23:27Zaidi ya wahamiaji 10,000 wamefariki dunia au kupotea mwaka huu wa 2024 unaomalizika wakati wakijaribu kufika Uhispania kwa njia ya Bahari.
-
Russia yajibu matamshi ya Grossi kuhusu Iran: IAEA inapaswa kutoegemea upande wowote
Dec 26, 2024 06:54Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia, amejibu matamshi ya Rafael Grossi, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA), akisisitiza kwamba wakala huo haupaswi kusalimu amri kwa fikira potovu za nchi za Magharibi kuhusiana na suala la Iran.
-
Katika ujumbe wa Krismasi, Papa asema mgogoro wa binadamu wa Gaza 'ni mbaya sana'
Dec 26, 2024 03:22Katika ujumbe wake wa Krismasi, Kiongozi wa Kanisa Katoliki Dunia, Papa Francis ameelezea hali ya binadamu huko Gaza kuwa "mbaya sana", akitoa wito wa kufunguliwa "milango ya mazungumzo na amani."
-
Spiegel: Serikali ya Ujerumani imeidhinisha kutuma kiasi kikubwa cha silaha kwa utawala wa Kizayuni wa Israel
Dec 26, 2024 03:20Jarida la Spiegel limetangaza kuwa serikali ya Ujerumani imeidhinisha kutumwa kiasi kikubwa cha silaha kwa utawala wa Kizayuni wa Israel unaoendeza mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina wa Ukanda Gaza.
-
Kupanuka kundi la BRICS baada ya kujiunga nchi nyingine 13
Dec 26, 2024 00:41Kundi la BRICS linaendelea kupanuka baada ya nchi nyingine 13 kujiunga na kundi hilo kama "washirika" kuanzia mwanzoni mwa mwezi Januari mwaka huu.
-
Umoja wa Mataifa wapitisha Mkataba wa Kimataifa wa dhidi ya Uhalifu wa Kimtandao
Dec 26, 2024 00:39Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha Mkataba wa Kimataifa dhidi ya Uhalifu wa kimtandao, (Cybercrime), ikiwa ni hatua ya kihistoria ya kuimarisha ushirikiano wa kimataifa kutokomeza uhalifu huo na wakati huo huo kulinda jamii dhidi ya vitisho vya kidijitali.
-
Harakati za kutiliwa shaka za Marekani katika nchi 18 za Afrika; Je, ni virusi vipya?
Dec 25, 2024 08:46Kwa mujibu wa afisa mmoja wa ngazi za juu wa kijeshi wa Russia, harakati za kijeshi za Marekani katika kufanyia majaribio silaha za biolojia barani Afrika zimeongezeka sana na zinaendelea kwa kasi kubwa.
-
Afghanistan: Pakistan imefanya mashambulio ya anga, yameua na kujeruhi raia wengi wakiwemo watoto
Dec 25, 2024 03:23Afghanistan imetangaza kuwa jeshi la Pakistan limefanya mashambulizi ya anga katika jimbo la Paktika mashariki, na kuua na kuwajeruhi raia kadhaa, "wengi wao wakiwa wakimbizi kutoka Waziristan."