-
Harakati za kutiliwa shaka za Marekani katika nchi 18 za Afrika; Je, ni virusi vipya?
Dec 25, 2024 08:46Kwa mujibu wa afisa mmoja wa ngazi za juu wa kijeshi wa Russia, harakati za kijeshi za Marekani katika kufanyia majaribio silaha za biolojia barani Afrika zimeongezeka sana na zinaendelea kwa kasi kubwa.
-
Afghanistan: Pakistan imefanya mashambulio ya anga, yameua na kujeruhi raia wengi wakiwemo watoto
Dec 25, 2024 03:23Afghanistan imetangaza kuwa jeshi la Pakistan limefanya mashambulizi ya anga katika jimbo la Paktika mashariki, na kuua na kuwajeruhi raia kadhaa, "wengi wao wakiwa wakimbizi kutoka Waziristan."
-
Russia yafichua: Shughuli za kimaabara za silaha za biolojia za Marekani zimehamishiwa Afrika
Dec 25, 2024 03:20Naibu Mkuu wa Idara ya Ulinzi ya Russia inayohusika na ulinzi wa Biolojia, Kemikali na Mionzi amefichua kuwa, baada ya kusimamishwa shughuli za Marekani za kimaabara za silaha za biolojia nchini Ukraine, Washington sasa imehamishia shughuli zake hizo katika nchi za Afrika.
-
Trump analenga kunyakua ardhi za wengine ili kupanua ukubwa wa Marekani
Dec 24, 2024 09:56Wakati bado Donald Trump hajaweka mguu wake kwa mara ya pili kwenye kiti cha urais wa Marekani, ameonesha mipango yake ya kupanua ardhi ya Marekani kwa kunyakua maeneo ya wengine.
-
Maulamaa wa Russia watengua fatua waliyotoa kuruhusu Waislamu wa nchi hiyo kuoa wake wengi
Dec 24, 2024 08:20Baraza Kuu la Waislamu nchini Russia limetengua hati iliyoibua makelele ya fatua inayowaruhusu wanaume Waislamu wa nchi hiyo kuoa mke zaidi ya mmoja.
-
Waislamu nchini Slovakia hawana Msikiti, Serikali haiutambui Uislamu kuwa ni dini
Dec 24, 2024 08:19Slovakia, iliyoko Ulaya ya Kati, ndiyo nchi pekee katika bara hilo ambayo haina hata msikiti mmoja licha ya kuwa na idadi kubwa ya Waislamu.
-
Mchezo mpya wa kuigiza wa serikali wa Biden wa kujisafisha na chuki dhidi ya Uislamu
Dec 23, 2024 23:09Wakati Marekani inaendelea kuunga mkono mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala wa Israel huko Gaza, serikali ya Joe Biden imeidhinisha kimaonyesho tu hati ya "Kupambana na Chuki dhidi ya Uislamu" ili kujitakasa bila kutaja mizizi na chanzo cha ukatili na chuki hizo za serikali dhidi ya Waislamu nchini Marekani.
-
Warohingya 60,000 wawasili Bangladesh kufuatia kupamba moto mzozo nchini Myanmar
Dec 23, 2024 10:42Huku kukiwa na mzozo kati ya serikali ya kijeshi na jeshi la waasi la Arakan nchini Myanmar, Waislamu wa kabila la Rohingya wapatao 60,000 wamewasili Bangladesh katika muda wa miezi miwili iliyopita.
-
Ugaidi, chombo cha kisiasa cha nchi za Magharibi
Dec 23, 2024 10:14Licha ya kupita siku kadhaa tangu tukio la watu kugongwa na gari katika soko la Krismasi la Magdeburg, Ujerumani, suala hili bado linagonga vichwa vya habari katika vyombo vya habari vya Magharibi. Makumi ya watu waliuawa auu kujeruhiwa katika tukio hilo.
-
Poland: Tutamkamata Netanyahu iwapo atahudhuria maadhimisho ya 80 ya kukombolewa Auschwitz
Dec 23, 2024 02:57Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu atakamatwa iwapo atahudhuria sherehe zitakazofanyika mwezi ujao nchini Poland za kuadhimisha miaka 80 ya kukombolewa mji wa Auschwitz. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo mwanachama wa Umoja wa Ulaya Wladyslaw Bartoszewski katika mahojiano na gazeti la Rzeczpospolita.