-
Waziri Mkuu wa Uhispania azitolea mwito nchi zote duniani kuitambua rasmi nchi ya Palestina
Dec 23, 2024 02:12Waziri Mkuu wa Uhispania Pedro Sanchez ametoa wito kwa nchi zote duniani kuitambua nchi ya Palestina na kufanya juhudi za kuhakikisha inapatiwa uanachama kamili katika Umoja wa Mataifa na kukomesha kukaliwa kwa mabavu ardhi ya nchi hiyo na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
CNN: Marekani haina uwezo wa kuzuia droni za kigeni zinazopaa kwenye anga ya vituo vyake vya kijeshi
Dec 23, 2024 02:07Kituo cha Televisheni cha CNN kimekiri kwamba Marekani haina uwezo wa kusimamisha ndege zisizo na rubani za kigeni zinazopaa katika anga ya vituo vya kijeshi vya nchi hiyo.
-
China: Marekani inachezea moto na utaiunguza kwa kuizatiti kwa silaha Taiwan
Dec 23, 2024 02:07China imeionya Marekani kuhusu hatua yake iliyochukua hivi karibuni zaidi ya kuipatia misaada ya kijeshi Taiwan na kusisitiza kwamba, kusaidia kile kiitwacho "uhuru wa Taiwan" kwa kuipa silaha Taipei ni sawa na kuchezea moto, na moto huo utaiunguza Marekani.
-
Wafaransa waandamana kupinga uungaji mkono wa serikali ya Ufaransa kwa Israel
Dec 22, 2024 23:40Maandamano makubwa yamefanyika katika miji mbalimbali ya Ufaransa kupinga himaya na uungaji mkono wa serikali ya Paris kwa utawala wa Kizayuni na kutolewa mwito kusitishwa mapigano Gaza.
-
Putin: Msitishe watu kuhusu Vita Vikuu vya Tatu vya Dunia
Dec 22, 2024 09:12Rais Vladimir Putin wa Russia amesema kiwango cha tishio kinaongezeka duniani kote, lakini hakuna haja ya kuwatisha watu kuhusu Vita vya Tatu vya Dunia.
-
Pakistan yakanusha madai ya Marekani kuhusu mpango wake wa makombora
Dec 22, 2024 09:00Wizara ya Mambo ya Nje ya Pakistan imepuuzilia mbali madai yaliyotolewa na afisa wa ngazi za juu wa Marekani kwamba mpango wa makombora ya balistiki ya Islamabad ni tishio kwa usalama wa Marekani na kusema madai hayo hayana msingi wala mantiki
-
Bunge la Uhispania lahimizwa kuvunja uhusiano wa kidiplomasia na Israel
Dec 22, 2024 04:15Jukwaa jipya lililoundwa kwa jina la Wanasheria wa Palestina linalojumuisha mawakili, majaji, waendesha mashtaka na wanasomi mbalimbali limetaka Kongresi ya Uhispania kuunga mkono pendekezo la kukata uhusiano wa kidiplomasia na Israel na kuuwekea vikwazo utawala huo vamizi unaozikalia kwa mabavu ardhi za Palestina.
-
Papa Francis: Mashambulizi ya anga ya Israel Ukanda wa Gaza ni ya kikatili
Dec 22, 2024 00:07Kiongozi wa Wakatoliki duniani Papa Francis, amelaani mashambulizi ya anga ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza na kuyataja kuwa ni kitendo cha kikatili.
-
Imethibitika: Gaidi aliyeua watu Ujerumani hana mfungamano na Uislamu
Dec 21, 2024 10:10Polisi ya Ujerumani imetangaza kuwa shambulizi soko la Krismasi huko Magdeburg halina mfungamano au msukumo wowote wa 'Kiislamu'.
-
Bendera ya Israel yashushwa katika jengo la ubalozi wa Israel Dublin
Dec 20, 2024 23:27Bendera ya utawala haramu wa Israel imeshushwa na kuondolewa katika jengo la ubalozi wa Israel mjini Dublin Ireland baada ya ubalozi wa utawala huo kufungwa.