-
Haki za binadamu; wenzo wa kisiasa wa madola ya Magharibi
Dec 20, 2024 23:22Canada, kama ilivyokuwa katika miaka ya hivi karibuni, imewasilisha kwenye Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa rasimu ya azimio kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu nchini Iran na kupasishwa kwa mbinde katika kamati ya tatu ya Baraza Kuu.
-
Nchi mbalimbali zaikosoa Marekani kwa kuzuia usitishaji wa mapigano huko Gaza
Dec 20, 2024 04:26Mwakilishi wa kudumu wa Marekani katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, ambaye ndiye mkuu wa sasa wa baraza hilo, amekataa kujibu shutuma za wanachama wengine kuhusu kura mfululizo ya turufu ya nchi hiyo ya kuzuia usitishaji vita katika Ukanda wa Gaza, na badala yake amezishutumu nchi nyingine wanachama kwa kutokuwa na matumaini.
-
Polisi wa Uingereza watiwa nguvuni kwa unyanyasaji wa kingono dhidi ya watoto
Dec 20, 2024 04:25Maafisa wawili wa polisi ya Uingereza wamekamatwa kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono dhidi ya watoto katika miaka iliyopita.
-
IHRC yasusia kumbukumbu ya "Holocaust" baada ya kupuuzwa mauaji ya Israel huko Gaza
Dec 19, 2024 23:56Kamisheni ya Haki za Kibinadamu ya Kiislamu ya Uingereza (IHRC) imesusia shughuli na kumbukumbu ya "Holocaust" baada ya shirika linaloandaa shughuli hiyo kukataa kujumuisha mashahidi wa Gaza katika orodha ya wahanga wa mauaji ya kimbari.
-
'Kuvuta sigara ototoni kunasababisha matatizo ya mapema ya moyo', utafiti wabaini
Dec 19, 2024 23:22Utafiti mpya wa chuo kikuu vya Bristol na Exeter, nchini Uingereza na Chuo Kikuu cha Eastern Finland umefichua kwamba uvutaji sigara kuanzia utotoni unaongeza hatari ya kukumbwa na maradhi ya moyo mapema maishani.
-
Katibu Mkuu UN: Natiwa wasiwasi na kushtadi mivutano huko Syria
Dec 19, 2024 07:45Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameelezea wasiwasi wake juu ya kuongezeka hali ya mvutano kati ya makundi yenye silaha nchini Syria na wapiganaji wa Kikurdi.
-
Norway yakataa kucheza na 'Israel' katika mechi za kufuzu Kombe la Dunia 2026 kutokana na jinai Gaza
Dec 19, 2024 03:31Timu ya taifa ya kandanda ya Norway haitashindana na Israel katika mechi za kufuzu kwa Kombe la Dunia la 2026 kwa Ulaya, kwa kuwa nchi hiyo ya Ulaya haiwezi "kusalia katika hali ya kutojali" ukatili usioweza kuelezeka wa utawala huo dhidi ya Wapalestina waliozingirwa wa Ukanda wa Gaza.
-
Wabunge wa Marekani wamtaka Biden aache kuipatia silaha Israel
Dec 18, 2024 23:39Wabunge nchini Marekani wamemuandikia barua Rais Joe Biden wa nchi hiyo wakimtaka asitishe kuupatia silaha utawala haramu wa Israel.
-
Ireland: Israel haina uwezo wa kuzima sauti ya Wa-Ireland ya kuunga mkono Palestina
Dec 18, 2024 23:39Serikali ya Ireland imetangaza kuwa, Israel haina uwezo wa kuzima sauti ya Wa-Ireland ya kuwaunga mkono Wapalestina.
-
Wananchi wa Marekani hawana imani na serikali na vyombo vya habari
Dec 18, 2024 23:38Matokeo ya uchunguzi wa maoni wa karibuni yanaonyesha kuwa kutokuwa na imani wananchi wa Marekani na serikali ya Joe Biden na kwa vyombo vya habari kulitayarisha mazingira ya ushindi wa "Donald Trump" na Warepublican katika uchaguzi wa rais wa nchi hiyo.