-
Wazayuni wa Uingereza wakosolewa kwa kupinga idadi ya waliouawa Gaza
Dec 18, 2024 10:06Shirika moja lenye makao yake makuu nchini Uingereza linalofadhiliwa na lobi ya Wazayuni limekabiliwa na shutuma kali kutokana na ripoti yake ya hivi karibuni inayodai kwamba, idadi ya walioaga dunia kutokana na mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel huko Gaza "imetiwa chumvi ili kuichafua Israel."
-
Russia yamkamata mshukiwa 'aliyeajiriwa na Ukraine' kwa mauaji ya Jenerali Kirillov
Dec 18, 2024 10:00Mamlaka ya Russia inasema imemkamata mshukiwa anayehusika na mauaji ya Jenerali wa ngazi za juu, Igor Kirillov, ambaye alikuwa mkuu wa kitengo cha silaha za kemikali cha jeshi la nchi hiyo, na kuongeza kuwa aliajiriwa na Ukraine.
-
Onyo la Putin kuhusu kuwekwa makombora mapya ya Marekani barani Ulaya na Asia
Dec 18, 2024 07:37Rais Vladimir Putin wa Russia, ametoa onyo kuhusu kuwekwa makombora ya masafa ya kati na mafupi ya Marekani barani Ulaya na Asia, akisisitiza kwamba nchi yake itatoa jibu la pande zote kwa hatua hiyo. Putin amesema, mpango wa Washington wa kuweka makombora barani Ulaya unaitia wasiwasi mkubwa Moscow.
-
Baraza la Usalama UN latoa tamko kuhusu Syria, lataka kuheshimiwa ardhi ya nchi hiyo
Dec 18, 2024 04:07Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetoa tamko kuhusu kipindi cha mpito cha kisiasa nchini Syria, siku 10 baada ya kuondoka madarakani utawala wa Rais Bashar al-Assad.
-
Ukandamizaji mkubwa wa "uhuru" katika vyuo vikuu vya Marekani
Dec 17, 2024 09:32Sanjari na kuendelea maandamano ya wanafunzi katika vyuo vikuu vya Marekani kulaani jinai za Israel dhidi ya Wapalestina na kuwaunga mkono wakaazi wa Gaza, vitendo vya ukandamizaji vya serikali na polisi wa Marekani dhidi ya wanafunzi vimeshadidi na kuchukua wigo mpana zaidi.
-
Kamanda mkubwa wa kijeshi wa Russia auawa, Moscow yaishutumu Ukraine kwa mauaji hayo
Dec 17, 2024 07:48Kamanda wa Kusimamia masuala ya mionzi, kemikali na biolojia wa Jeshi la Russia ameuawa kwa bomu mjini Moscow, leo Jumanne asubuhi. Serikali ya Russia imeyashutumu mashirika ya kijasusi ya Ukraine kwa kuhusika na shambulio hilo la kigaidi.
-
Putin: Viongozi wa Magharibi wanadhani wao wanateuliwa na Mungu, japokuwa hawamuamini Mungu
Dec 17, 2024 02:34Rais Vladimir Putin wa Russia amesema, nchi za Magharibi zinaendelea kufanya mambo kana kwamba ni wawakilishi wa Mungu duniani kwa kujaribu kudumisha ukiritimba wao wa kimataifa kwa kuweka kanuni za kidanganyifu.
-
Mkuu wa Sera za Nje wa EU atoa taarifa kuhusu Syria
Dec 16, 2024 03:53Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya ametangaza kuwa kipaumbele cha Ulaya ni kuhakikisha amani inakuwepo katika eneo na kwamba umoja huo utashirikiana na wadau wote katika eneo zima ikiwemo Syria katika uwanja huo.
-
Wamagharibi na mchezo wa undumakuwili kuhusu jinai za Israel
Dec 15, 2024 23:09Licha ya hukumu ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai dhidi ya viongozi wa utawala wa Kizayuni, mahakama ya Uholanzi imetupilia mbali kesi iliyowasilishwa kwa lengo la kuzuia kuuziwa silaha za nchi hiyo utawala ghasibu wa Israel.
-
Unicef: Ongezeko la ghasia na kuuawa watoto Ukanda wa Gaza ni maafa
Dec 15, 2024 07:33Msemaji wa Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) amesema kuwa hali ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza ni ya maafa matupu.