-
ICC: Mawasiliano na ufuatiliaji unaendelea kufanywa ili kuwatia nguvuni Netanyahu na Gallant
Dec 15, 2024 02:05Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC imetangaza kuwa, mawasiliano na ufuatiliaji mkubwa unaendelea kufanywa ili kuweza kuwatia mbaroni waziri mkuu pamoja na waziri wa zamani wa vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Chuki dhidi ya Uislamu Magharibi zimeongezeka kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa
Dec 15, 2024 02:04Washiriki wa mkutano wa London uliozungumzia "Uenezaji Hofu na Chuki Dhidi ya Uislamu" (Islamophobia) wametahadharisha kuhusu athari za vita vya Ghaza kwa ongezeko la jinai zinazofanywa katika nchi za Magharibi kwa sababu ya kuwachukia Waislamu.
-
Baada ya kuzisuluhisha Ethiopia na Somalia, Erdogan asema yuko tayari kuzipatanisha Sudan na UAE
Dec 14, 2024 02:55Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesisitizia utayari wa nchi yake wa kuimarisha amani na utulivu wa Sudan, ikilinda utawala wake dhidi ya kuingiliwa na nchi za nje.
-
Ndugu matajiri Waisraeli wa Marekani washtakiwa kwa biashara haramu ya ngono ya muongo mmoja
Dec 13, 2024 22:59Matajiri watatu wa mali isiyohamishika Waisraeli wa Marekani wameshtakiwa kwa biashara haramu ya ngono katika kesi inayohusisha ukatili dhidi ya "dazeni ya wanawake" kwa zaidi ya muongo mmoja.
-
Umoja wa Mataifa wapasisha azimio la kusitishwa vita Gaza
Dec 13, 2024 00:11Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepasisha kwa wingi wa kura azimio la kutaka kusitishwa mara moja na bila masharti mapigano katika Ukanda wa Gaza.
-
Ireland yajiunga na kesi ya Afrika Kusini ICJ dhidi ya Israel
Dec 13, 2024 00:10Serikali ya Ireland imetangaza kujiunga na kesi iliyowasilishwa na Afrika Kusini katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) dhidi ya utawala haramu wa Israel unaotenda jinai dhidi ya Wapalestina.
-
WHO yatoa mwito wa kuwekeza zaidi katika huduma za afya kwa wote
Dec 12, 2024 23:59Shirika la Afya Duniani (WHO) limetoa mwito wa kuwekeza zaidi katika huduma za afya ili kukidhi mahitaji ya jamii katika sekta hii muhimu.
-
Iran: Matamshi ya waziri wa mambo ya nje wa Uingereza kuhusu Syria ni ya "unafiki"
Dec 12, 2024 07:37Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, madai ya Uingereza kuhusu matukio yanayojiri Syria ni ya kinafiki na ya upotoshaji ukweli.
-
Azimio la Baraza Kuu la UN: Vita vya Ghaza 'visimamishwe mara moja na bila masharti'
Dec 12, 2024 07:03Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha kwa wingi mkubwa wa kura maazimio mawili, moja la kutaka kusitishwa kwa mapigano mara moja katika Ukanda wa Ghaza na la pili la kuutaka utawala wa Kizayuni wa Israel uondoe marufuku yake kwa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuwahudumia Wakimbizi wa Palestina, UNRWA.
-
Reuters: Trump amemwambia Zelensky anataka vita "visimamishwe mara moja"
Dec 12, 2024 07:02Rais mteule wa Marekani Donald Trump amemwambia Rais Vladimir Zelensky wa Ukraine na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kwamba anataka kukomeshwa uhasama wa vita kati ya Russia na Ukraine haraka iwezekanavyo. Hayo ni kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters likizinukuu duru kadhaa.