-
US yampokea kwa mikono miwili Gallant licha ya Mahakama ya ICC kutoa hati ya kutaka akamatwe
Dec 11, 2024 03:41Marekani imempokea na kumkaribisha Yoav Gallant katika ardhi yake, licha ya waziri huyo wa zamani wa vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel kutolewa hati ya kukamatwa na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kwa kuhusika na jinai za kivita na jinai dhidi ya ubinadamu walizofanyiwa Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza.
-
Umoja wa Mataifa: Israel inapaswa kusitisha harakati zake nchini Syria
Dec 11, 2024 00:57Mwakilishi Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu masuala ya Syria ametaka kusitishwa harakati za utawala wa Israel nchini Syria.
-
Marekani inatafakari 'kutia ulimi puani' kuiondoa HTS kwenye orodha ya makundi ya kigaidi
Dec 10, 2024 23:58Serikali inayoondoka madarakani nchini Marekani ya Joe Biden inafanya mashauriano juu ya kuliondoa jina la Hayʼat Tahrir al-Sham (HTS) kwenye orodha ya makundi ya kigaidi.
-
Tuhuma mpya za Troika ya Ulaya dhidi ya mpango wa amani wa nyuklia wa Iran
Dec 10, 2024 23:16Troika ya Ulaya (Ujerumani, Ufaransa na Uingereza) ya Jumatatu ya tarehe 9 Disemba ilikariri madai yenye utashi wa kisiasa kuhusu mpango wa amani wa nyuklia wa Iran.
-
Shirikisho la Wanahabari: Waandishi 104 wameuliwa 2024, zaidi ya nusu wameuawa Ghaza
Dec 10, 2024 07:56Shirikisho la Kimataifa la Wanahabari (IFJ) limetangaza leo kuwa 2024 umekuwa mwaka wa "mauti zaidi" kwa waandishi wa habari kutokana na waandishi 104 wa habari kuuawa duniani kote, huku zaidi ya nusu kati yao wakiuawa katika Ukanda wa Ghaza.
-
Trump asema kuna 'uwezekano mkubwa' atakata misaada kwa Ukraine
Dec 09, 2024 23:18Rais mteule wa Marekani Donald Trump amesema 'kuna uwezekano mkubwa' kuwa atapunguza misaada ya Washington kwa Ukraine mara tu atakapoingia madarakani.
-
Takwa la Trump la kusitishwa mapigano mara moja nchini Ukraine
Dec 09, 2024 23:17Katika ujumbe aliotoa baada ya kukutana na Volodymyr Zelenskiy na Emmanuel Macron, Marais wa Ukraine na Ufaransa mjini Paris, Donald Trump, rais mteule wa Marekani ametoa wito wa kusitishwa mara moja mapigano nchini Ukraine.
-
WHO yachunguza ugonjwa usiojulikana DRC
Dec 09, 2024 04:39Shirika la Afya Duniani WHO limetangaza kwamba linaendeleza uchunguzi kuhusu mripuko wa ugonjwa usiojulikana nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambao umeua idadi kubwa ya watu.
-
Russia yaitaka Reuters ifute habari feki kuhusu 'ajali ya ndege' iliyombeba Assad
Dec 09, 2024 04:37Russia imetoa wito kwa shirika la habari la Reuters kufuta taarifa inayodai kwamba kuna uwezekano mkubwa kuwa eti Rais Bashar al-Assad alipoteza maisha katika ajali ya ndege wakati akiondoka Syria.
-
Kuongezeka mpasuko ndani ya Umoja wa Ulaya juu ya utekelezaji wa vikwazo vipya dhidi ya Russia
Dec 08, 2024 23:39Hatua za Umoja wa Ulaya (EU) za kujaribu kufikia mwafaka juu ya utekelezaji wa kifurushi cha 15 cha vikwazo dhidi ya Russia zimegonga mwamba kutokana na kura za turufu zilizopigwa na Latvia na Lithuania.