-
'Muhammad' ndilo jina maarufu zaidi la watoto wa kiume nchini Uingereza mwaka 2023
Dec 07, 2024 08:09Muhammad ambalo ni jina la Nabii wa rehema, Mtume wa Mwisho wa Mwenyezi Mungu, ndilo jina maarufu zaidi ambalo walipewa watoto wengi zaidi wa kiume nchini Uingereza na Wales mwaka jana 2023.
-
Wananchi wa Ireland wataka kukomeshwa ukoloni wa Uingereza nchini mwao
Dec 07, 2024 08:06Wananchi wa Ireland kwa mara nyingine tena wametoa mwito wa kukomeshwa utawala wa Waingereza huko Ireland Kaskazini. Hayo yamekuja wakati Ireland ikiadhimisha kuanzishwa Jimbo Huru la Ireland ambalo linajumuisha kaunti 26 za Jamhuri ya Ireland. Hivi sasa kuna Kaunti sita za Jamhuri ya Ireland bado ziko chini ya udhibiti wa nchi ya kifalme ya Uingereza.
-
Ufaransa; kuanzia mivutano hadi mgogoro wa kisiasa
Dec 07, 2024 07:35Hatimaye wabunge wa vyama vya mrengo wa kulia na kushoto vyenye misimamo mikali katika bunge la taifa la Ufaransa wametimiza ahadi yao na kuiondoa madarakani serikali ya Waziri Mkuu wa nchi hiyo Michel Barnier.
-
WHO yalaani mauaji yaliyotekelezwa na Israel hospitalini Gaza
Dec 07, 2024 03:21Shirika la Afya Duniani la Umoja wa Mataifa WHO limeonya kwamba mashambulizi ya Israel yanayoendelea Kaskazini mwa Gaza yanaendelea kuzuia upatikanaji wa huduma muhimu za afya zinazohitajika sana.
-
"Muhammad" lingali ndilo jina wanalopenda wazazi wengi nchini Uingereza kuwapa watoto wao
Dec 06, 2024 23:35Idara ya Taifa ya Takwimu ya Uingereza imetangaza kuwa jina "Muhammad" lingali ndilo jina linalopendwa kutumiwa zaidi nchini humo na wazazi kuwapa watoto wao wa kiume.
-
Guterres: Maafa ya Gaza ni kielelezo cha kuporomoka kabisa kwa ubinadamu
Dec 06, 2024 23:34Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, amesema kwamba "maafa" yaliyolikumba eneo la Ukanda wa Gaza huko Palestina yanawakilisha "kuporomoka kabisa kwa ubinadamu wetu wa pamoja" huku Israel ikendeleza vita vya maangamizi kwenye eneo hilo kwa zaidi ya miezi 14.
-
Lavrov: Russia itatumia 'njia yoyote' kuhakikisha haishindwi katika vita vya Ukraine
Dec 06, 2024 22:54Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amesema, kutumiwa hivi majuzi na jeshi la nchi yake kombora la hypersonic katika vita vya Ukraine kumelenga kuzielewesha nchi za Magharibi kwamba Moscow iko tayari kutumia "njia yoyote" ili kuzuia kushindwa katika vita hivyo.
-
Mkuu wa UNGA ahimiza kukomeshwa vita vya mauaji ya kimbari huko Gaza
Dec 05, 2024 08:23Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) ametoa wito wa kusitishwa vita vya mauaji ya kimbari vya Israel dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza, akieleza kusikitishwa na kushindwa kwa Baraza la Usalama la UN kuidhinisha azimio la kusitisha mapigano katika eneo hilo la Palestina.
-
UNICEF yazindua wito wa kukusanya dola bilioni 10 kwa ajili ya watoto wahanga wa migogoro
Dec 05, 2024 08:22Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limezindua kampeni ya kukusanya dola bilioni 9.9 kusaidia mamilioni ya watoto wahanga wa machafuko na migogoro duniani kote katika mwaka wa 2025.
-
Wabunge wa Ufaransa waitimua serikali katika kura ya ‘kihistoria’ ya kutokuwa na imani nayo
Dec 05, 2024 05:04Wabunge wa Ufaransa wamepiga kura ya kuondolewa madarakani serikali ya Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Michel Barnier, katika kura ya kutokuwa na imani iliyochochewa na kupitisha bajeti ya 2025 bila kura ya wabunge.