-
Kuendelea jinai za magaidi Parachinar, Pakistan
Nov 26, 2024 22:55Baada ya shambulio la hivi majuzi la kigaidi dhidi ya Mashia wa Parachinar katika Wilaya ya Kurram nchini Pakistani, mamlaka za nchi hiyo zimeripoti uhalifu mwingine wa matakfiri dhidi ya Mashia wa Parachinar.
-
Mrusi aliyehukumiwa kwa kuchoma nakala ya Quran, afungwa miaka 14 jela kwa kosa la uhaini
Nov 26, 2024 10:23Mwanaume mmoja raia wa Russia aliyepatikana na hatia ya kuchoma moto nakala ya kitabu kitakatifu cha Waislamu, Qur'ani, mapema mwaka huu, amehukumiwa kifungo cha ziada cha miaka 14 jela kwa kosa la uhaini.
-
Wafuasi wa Imran Khan watunishiana misuli na Polisi ya Pakistan wakiandamana kuelekea Islamabad
Nov 26, 2024 03:36Maelfu ya waandamanaji wanaotaka kuachiliwa huru waziri mkuu wa zamani wa Pakistan Imran Khan anayetumikia kifungo jela wamekaidi vizuizi vya barabarani vilivyowekwa na Polisi na gesi ya kutoa machozi waliyomiminiwa na askari hao katika azma yao ya kuingia katika mji mkuu Islamabad.
-
Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya atoa indhari: Mustakabali wa EU uko 'hatarini'
Nov 26, 2024 03:12Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya anayemaliza muda wake Josep Borrell ametoa indhari kuwa mustakabali wa umoja huo uko hatarini kutokana na kukabiliwa na migogoro mingi kwa wakati mmoja, na akasisitiza kwamba EU haiwezi tena kuitegemea Marekani kwa ajili ya ulinzi wake.
-
UNICEF: Kutumiwa watoto kama askari kwenye magenge yenye silaha Haiti kumeongezeka kwa 70%
Nov 26, 2024 03:10Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF limetangaza kuwa, idadi ya watoto wanaoandikishwa katika makundi yenye silaha nchini Haiti imeongezeka kwa asilimia 70 katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita.
-
Iran na Algeria zatilia mkazo udharura wa kushirikiana kupambana na Israel
Nov 25, 2024 22:57Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Nje ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amefanya mazungumzo na Spika wa Bunge la Algeria na pande mbili zimetilia mkazo udharura wa kushirikiana mabunge ya nchi zao kukomesha jinai za utawala wa Kizayuni huko Ghaza na Lebanon.
-
Medvedev aonya: Kombora la Oreshnik linaweza kusababisha uharibifu Magharibi kwa dakika chache
Nov 25, 2024 04:32Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Usalama la Russia, amesema kwamba kombora la nchi hiyo la "Oreshnik" linaweza kusababisha uharibifu mkubwa kwa miji mikuu ya Magharibi ndani ya dakika chache, akitoa wito kwa Ulaya kuacha kutoa msaada wa kijeshi kwa Ukraine.
-
Uchunguzi wa maoni: Theluthi moja ya vijana Wayahudi wa Marekani wanaiunga mkono Hamas
Nov 24, 2024 23:43Uchunguzi wa maoni wa karibuni uliofanywa na utawala wa Israel umeonyesha kuwa zaidi ya theluthi moja ya vijana Wayahudi wa Marekani wenye umri wa miaka kuanzia 14 hadi 18 wametangaza mshikamano wao na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas.
-
Russia: Mkataba wa ushirikiano mpana wa kistratejia na Iran utajumuisha ulinzi na usalama
Nov 24, 2024 06:33Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema mkataba wa ushirikiano wa kimkakati na mpana kati ya nchi yake na Iran utajumuisha pia ushirikiano katika sekta ya ulinzi na usalama.
-
Jumuiya 11 za Ufaransa zaihimiza serikali itekeleze agizo la ICC la kumkamata Netanyahu na Gallant
Nov 24, 2024 06:31Jumuiya 11 zisizo za kiserikali (NGO's) nchini Ufaransa zimeitaka serikali ya nchi hiyo itekeleze agizo la Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) ya kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na mkuu wa zamani wa ulinzi Yoav Gallant.