Dunia
  • Waziri Mkuu wa Ireland: Tutawakamata Netanyahu na Gallant

    Waziri Mkuu wa Ireland: Tutawakamata Netanyahu na Gallant

    Nov 23, 2024 22:59

    Waziri Mkuu wa Ireland amesisitiza kuwa, nchi yake itatekeleza amri ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kuhusu kukamatwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na Yoav Gallant Waziri wa zamani wa vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Maandamano ya watetezi wa Palestina yaendelea ulimwenguni

    Maandamano ya watetezi wa Palestina yaendelea ulimwenguni

    Nov 23, 2024 22:59

    Wafuasi wa wananchi na wanachuo wa Palestina katika baadhi ya nchi wametoa wito wa kukomeshwa jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya Ghaza na Lebanon kwa mikusanyiko na maandamano.

  • Kuingia vita vya Ukraine katika hatua mpya na kuzidisha mzozo kati ya Russia na NATO

    Kuingia vita vya Ukraine katika hatua mpya na kuzidisha mzozo kati ya Russia na NATO

    Nov 23, 2024 22:56

    Matukio ya hivi karibuni katika vita vya Ukraine, yaani uamuzi wa nchi za Magharibi wa kutoa ruhusa kwa Ukraine kuishambulia Russia kwa kutumia silaha za masafa marefu za Marekani na Ulaya kwa upande mmoja, na Russia kutumia w kombora jipya la masafa ya kati lenye kasi ya zaidi ya sauti dhidi ya Ukraine kama tahadhari kali kwa Magharibi, kumeibua mgogoro mkubwa na usio na kifani kati ya Russia na NATO.

  • WHO inasema mpox bado ni dharura ya afya ya umma duniani

    WHO inasema mpox bado ni dharura ya afya ya umma duniani

    Nov 23, 2024 07:44

    Shirika la Afya Duniani (WHO) linasema kuwa litaendelea kuwa macho dhidi ya ugonjwa hatari wa mpox katika kiwango cha juu zaidi huku kukiwa na ongezeko la wagonjwa.

  • Kukiri nchi za Ulaya kuhusu mauaji ya kimbari Ukanda wa Gaza

    Kukiri nchi za Ulaya kuhusu mauaji ya kimbari Ukanda wa Gaza

    Nov 23, 2024 07:40

    Hatimaye Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) baada ya miezi kadhaa ya utafiti na uchunguzi imetoa hukumu ya kukamatwa Benjamin Netanyahu na Yoav Gallant, Waziri Mkuu na Waziri wa Vita wa zamani wa utawala katili wa Israel kwa kutenda jinai za kivita huko Ukanda wa Gaza.

  • Hasira isiyo na mfano wake dhidi ya Wazayuni barani Ulaya

    Hasira isiyo na mfano wake dhidi ya Wazayuni barani Ulaya

    Nov 22, 2024 23:59

    Jinai za kutisha zinazofanywa na Wazayuni katika Ukanda wa Gaza na Lebanon katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita zimekuwa na natija muhimu duniani hususan katika fikra za raia wa nchi za Magharibi, ambapo zimefichua sura halisi ya jinai na ubaguzi unaofanywa na utawala bandia wa Israel.

  • UN: Mauaji ya wafanyakazi wa misaada yamevunja rekodi mwaka 2024, wengi wao huko Gaza

    UN: Mauaji ya wafanyakazi wa misaada yamevunja rekodi mwaka 2024, wengi wao huko Gaza

    Nov 22, 2024 23:57

    Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu imesema kuwa mwaka huu umeshuhudia mauaji ya wafanyakazi wengi wa kutoa misaada ya kibinadamu kuliko mwaka wowote mwingine tangu kuanza kwa takwimu hizi, wengi wao katika mashambulizi ya Israel dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza.

  • Netanyahu ni mhalifu wa kivita, atakamatwa akikanyaga Dearborn Marekani

    Netanyahu ni mhalifu wa kivita, atakamatwa akikanyaga Dearborn Marekani

    Nov 22, 2024 23:46

    Mji mmoja nchini Marekani umeahidi kumkamata Waziri Mkuu wa utawala wa Israel, Benjamin Netanyahu, na waziri wake wa zamani wa vita, Yoav Gallant, iwapo watakanyaga kwenye mji huo baada ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, ICC,  kutoa vibali vya kuwakamata kutokana na jinai zao za kivita na na mauaji ya kimbari yanayoendelea Ukanda wa Gaza.

  • Uamuzi wa ICC wa kutiwa mbaroni Netanyahu na mshirika waendelea kupongezwa

    Uamuzi wa ICC wa kutiwa mbaroni Netanyahu na mshirika waendelea kupongezwa

    Nov 22, 2024 07:38

    Mataifa na shakhsia mbalinmbali ulimwenguni wameendelea kupongeza uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) wa kutoa hati ya kukamatwa Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu, na aliyekuwa waziri wake wa vita Yoav Gallant, wakituhumiwa kutenda jinai za vita.