-
Amri mpya ya Putin na kuongezeka uwezekano wa kutumiwa silaha za nyuklia
Nov 20, 2024 07:53Rais Vladimir Putin wa Russia Jumanne, Novemba 19, alitia saini amri ambayo inaipa Moscow ruhusa ya kutumia silaha za nyuklia dhidi ya "nchi isiyo na silaha za nyuklia" ilimradi nchi hiyo iwe inaungwa mkono na nguvu za nyuklia.
-
UNICEF: Zaidi ya watoto 200 wameuawa Lebanon katika mashambulizi ya Israel
Nov 20, 2024 04:38Huku dunia ikiadhimisha Siku ya Kimataifa ya Watoto, Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limesema zaidi ya watoto 200 wameuawa nchini Lebanon tangu Israel ilipoanzisha mashambulizi ya kijeshi dhidi ya nchi hiyo miezi miwili iliyopita.
-
Putin atia saini amri ya kupanua mazingira ya kubonyeza kitufe cha nyuklia
Nov 19, 2024 23:08Rais Vladimir Putin wa Russia jana Jumanne, alitia saini amri ya kupanua uwezekano wa nchi yake kutumia silaha za nyuklia, na kusema kuwa Moscow huenda ikafikiria kutumia silaha za nyuklia iwapo itakabiliwa na shambulio la kombora kawaida linaloungwa mkono na nchi inayomiliki silaha za nyuklia.
-
Siku 1000 za vita vya Ukraine na mustakabali wake usiojulikana
Nov 19, 2024 23:06Jumatatu ya juzi 18 Novemba, 2024, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilifanya mkutano mjini New York, kwa mnasaba wa siku elfu 1000 za Vita vya Ukraine.
-
Mgogoro wa hali ya hewa wachukua nafasi kubwa katika mkutano wa G20 nchini Brazil
Nov 19, 2024 04:03Migogoro ya hali ya hewa na vita nchini Ukraine na Mashariki ya Kati ilichukua nafasi kubwa katika siku ya kwanza ya mkutano wa kilele wa G20 nchini Brazil jana Jumatatu.
-
Ombi la Antonio Guterres la kuzuia kuongezeka mivutano katika vita vya Ukraine
Nov 19, 2024 03:45Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kuzuia kuongezeka mapigano nchini Ukraine.
-
Mwenyekiti wa Kamati ya UN: Vita vya Israel Ghaza vinaturejesha 'zama za ushenzi usio na udhibiti'
Nov 19, 2024 00:15Mwenyekiti wa Kamati Maalumu ya Umoja wa Mataifa ya Kuchunguza Mienendo ya Israel Palestina (SCIIP) amesema, vita vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Ghaza vinairejesha nyuma dunia hadi kwenye zama za ushenzi usio na udhibiti.
-
Washington Post: Marekani hivi karibuni itakabiliwa na tishio kubwa kuliko silaha za nyuklia
Nov 18, 2024 09:12Gazeti la Washington Post limeripoti kwamba kuna uwezekano wa Marekani kukabiliwa na tishio kubwa zaidi kuliko silaha za nyuklia katika siku za usoni, licha ya kwamba nchi hiyo ni mojawapo ya vinara katika kutafiti silaha za kibiolojia na na za vijidudu.
-
Seneta wa Australia 'aadhibiwa' kwa kupinga mauaji ya kimbari ya ufalme wa Uingereza
Nov 18, 2024 09:11Bunge la Seneti la Australia limemkaripia seneta mtetezi wa haki za wakazi asili wa nchi hiyo, Lidia Thorpe, kwa matamshi yake yaliyozusha utata dhidi ya Mfalme wa Uingereza Charles III na kutokana na kuutuhumu utawala wa kifalme wa Uingereza kuwa unahusika na mauaji ya kimbari.
-
Hatua mpya ya Wamagharibi ya kuchochea moto wa vita vya Ukraine
Nov 18, 2024 07:43Rais wa Marekani, Joe Biden ameripotiwa kuidhinisha Ukraine kutumia makombora ya masafa marefu ya Kimarekani kulenga shabaha ndani ya mipaka ya Russia ya kabla ya 2014. Hayo ni kwa mujibu wa ripoti ya jana Jumapili iliyotolewa na gazeti la New York Times likiwanukuu maafisa wa Marekani ambao hawakutaka kutajwa majina yao.