-
Onyo la Waziri Mkuu wa Hungary kuhusu uwezekano wa kusambaratika Umoja wa Ulaya
Jul 28, 2024 06:59Waziri Mkuu wa Hungary amekosoa siasa za nje za Umoja wa Ulaya zinazofuata na kuegemea upande wa Marekani na kuonya kuhusu uwezekano wa kujiangamiza umoja huo katika siku zijazo.
-
Malalamiko ya taasisi 75 za Marekani dhidi ya kupewa silaha utawala wa Kizayuni
Jul 28, 2024 06:31Taasisi na mashirika 75 ya Marekani yametaka kusitishwa mara moja kutumwa silaha za nchi hiyo kwa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Marekani yahamisha silaha zilizopigwa marufuku kutoka Ujerumani kwenda Ukraine
Jul 28, 2024 04:34Vyombo vya habari vya Ujerumani vimefichua kuwa nchi hii inahifadhi mabomu yaliyopigwa marufuku ya vishada ya Marekani na kwamba inapanga kuyahamishia Ukraine.
-
Kikao cha Baraza la Usalama kuhusu vita vya Gaza; muendelezo wa uungaji mkono wa Marekani kwa utawala wa Kizayuni
Jul 27, 2024 22:59Suala la hali mbaya ya Ukanda wa Gaza siku ta Ijumaa kwa mara nyingine tena liliwekwa katika ajenda ya utendaji ya kikao cha nchi 15 wanachama wa Baraza la Usalama la UN sambamba na Bejamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni kushiriki katika kikao hicho huko Marekani.
-
Maandamano dhidi ya utawala katili wa Israel yanaendelea sambamba na kuanza Michezo ya Olimpiki ya Paris
Jul 27, 2024 08:00Katika mkesha wa kuanza Michezo ya Olimpiki ya mwaka huu wa 2024 nchini Ufaransa, upinzani wa kimataifa dhidi ya ushiriki wa timu ya utawala wa Kizayuni katika michezo hiyo umeongezeka ambapo kampeni ya "Hakuna Olimpiki, Hakuna Mauaji" kwa ajili ya kuiondoa Israel katika mashindano hayo ya kimataifa ingali inaendelea.
-
UK: Hatutapinga waranti wa ICC wa kukamatwa Netanyahu kwa kuhusika na jinai za kivita
Jul 27, 2024 06:47Serikali mpya ya Uingereza imetangaza kuwa, tofauti na serikali iliyopita ya nchi hiyo, haitapinga kutekelezwa hukumu ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kuhusu kukamatwa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kwa sababu ya kuhusika na uhalifu wa kivita.
-
Thuluthi moja ya nchi zote duniani zimewekewa vikwazo na Marekani
Jul 27, 2024 06:47Gazeti la Marekani la Washington Post limetoa ripoti inayoonyesha kuwa katika kipindi cha miongo mitatu iliyopita, serikali ya nchi hiyo imeweka vikwazo vya kiuchumi na visivyo na athari yoyote dhidi ya thuluthi moja ya nchi zote duniani.
-
Erdogan : Netanyahu ni Hitler wa zama hizi, wabunge wa Marekani wana akili finyu
Jul 27, 2024 03:45Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan amelikosoa Bunge la Marekani kwa jinsi lilivyompokea na kumshangilia "bila aibu" Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ambaye amesema: "mikono yake imejaa ya damu ya Wapalestina."
-
Madaktari wa Marekani wamwambia Biden: Waliouawa na Israel huko Gaza wanazidi 92 elfu
Jul 27, 2024 03:45Madaktari na wauguzi 45 wa kujitolea wa Marekani wametia saini barua ya wazi iliyotumwa kwa Rais wa nchi hiyo, Joe Biden na Makamu wake Kamala Harris, ambayo imewasilisha ushuhuda wao walipokuwa wakifanya kazi katika Ukanda wa Gaza unaoendelea kushambuliwa na Israel kwa karibu siku 300 sasa.
-
Katibu Mkuu wa UN: Watu nusu milioni wanakufa kila mwaka kwa joto kali
Jul 26, 2024 09:26Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito wa dharura wa kuchukuliwa hatua ili kulinda vyema mabilioni ya watu duniani kote walioathiriwa na athari za joto kali, huku ongezeko la joto duniani likiendelea kupanda bila ya kuwepo dalili ya kupungua.