-
Uchunguzi wa maoni: 'Demokrasia ya Marekani' inaleta machafuko duniani
Mar 17, 2024 23:05Uchunguzi mpya wa maoni umebaini kuwa migogoro na majanga mengi duniani yanatokana na sera ya Marekani ya kueneza kile inachodai kuwa ni 'demokrasia" duniani.
-
Jeshi la wanamaji la India lanusuru meli iliyokuwa imetekwa na maharamia wa Somalia
Mar 17, 2024 23:05Askari wa jeshi la wanamaji la India wakiwemo makomando maalum wameikomboa meli ya mizigo iliyokuwa imetekwa nyara na maharamia wa Somalia na kuwaokoa wafanyakazi 17.
-
Italia: Vita vya Tatu vya Dunia vinaweza kuibuka iwapo NATO itatuma wanajeshi Ukraine
Mar 17, 2024 23:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Italia Antonio Tajani amesema kuwatuma wanajeshi wa muungano wa kijeshi wa NATO, unaoongozwa na Marekani, katika medani za vita nchini Ukraine kunaweza kusababisha mzozo wa pande zote duniani, hasa Vita vya Tatu vya Dunia.
-
Joe Biden akiri kuongezeka chuki dhidi ya Uislamu Marekani
Mar 17, 2024 23:03Ijumaa, Februari 15, Rais Joe Biden wa Marekani huku akikiri kuongezeka chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu nchini humo tangu kuanza mashambulizi ya Wazayuni huko Gaza alisema: 'Waislamu kote duniani wanapitia hali ngumu kutokana na imani yao.'
-
Kim Jong-un avitaka vikosi vya ulinzi kujiweka tayari kwa ajili ya vita
Mar 17, 2024 07:47Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un, ametoa wito kwa vikosi vya jeshi la nchi hiyo kujiweka tayari kikamilifu kukabiliana na mzozo wowote unaoweza kutokea.
-
Waangalizi wa uchaguzi wa OIC: Russia imeandaa fursa za kupiga kura kwa makundi yote ya raia
Mar 17, 2024 07:20Mkurugenzi Mkuu wa Masuala ya Kisiasa katika Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) amesema kuwa Russia imeandaa fursa nzuri kwa raia kwa ajili ya kupiga kura.
-
Mkuu wa WHO aiambia Israel: 'Kwa jina la ubinadamu' futeni mpango wa kuivamia kijeshi Rafah
Mar 17, 2024 02:26Shirika la Afya Duniani (WHO) limeutaka kwa msisitizo mkubwa utawala wa Kizayuni wa Israel uchukue uamuzi wa kufuta mpango wake wa kuuvamia na kuushambulia kijeshi kupitia ardhini mji wa Rafah ulioko kusini ya Ukanda wa Ghaza, unaohimili vita vya mauaji ya kimbari vinavyoendeshwa na utawala huo.
-
Trump aonya: Kutakuwa na 'umwagaji mkubwa wa damu' nisipochaguliwa kuwa rais wa Marekani
Mar 17, 2024 02:15Donald Trump ameuambia mkutano wa hadhara katika jimbo la Ohio kwamba uchaguzi wa rais wa Novemba utakuwa "tarehe muhimu zaidi" katika historia ya Marekani akiitaja kampeni yake ya kuingia tena Ikulu ya White kama hatua ya mabadiliko muhimu sana kwa nchi hiyo.
-
Maripota wa Umoja wa Mataifa: Hisia za kupiga vita Uislamu zinatia wasiwasi
Mar 16, 2024 22:42Maripota wa Umoja wa Mataifa wameonya katika taarifa yao ya pamoja kwamba hisia za chuki dhidi ya Uislamu zimefikia viwango vya kutisha duniani kote, na wametoa wito wa kukabiliana na aina zote za chuki za kidini kwa kutegemea maadili na sheria za haki za binadamu.
-
Italia: Kutumwa wanajeshi wa NATO nchini Ukraine kunaweza kuzusha Vita vya Tatu vya Dunia
Mar 16, 2024 07:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Italia, Antonio Tajani amesema kuwa haungi mkono kutumwa wanajeshi wa NATO nchini Ukraine, akionya kuwa hatua hiyo inaweza kuzusha Vita vya Tatu vya Dunia.