-
Moscow: Marekani inaingilia uchaguzi wa wa Rais wa Russia
Mar 16, 2024 07:46Uchaguzi wa Rais nchini Russia ulianza jana Ijumaa. Balozi wa nchi hiyo mjini Washington amelalamika kuwa Marekani inaingilia masuala ya ndani ya nchi yake yakiwemo yanayohusiana na uchaguzi huo.
-
ICJ kuanza kusikiliza kesi ya mauaji ya kimbari inayoikabili Ujerumani Aprili
Mar 16, 2024 03:51Majaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki ICJ wamesema kesi iliyowasilishwa na Nicagarua ikiishtaki Ujerumani kwa kuunga mkono utawala wa Kizayuni katika mauaji ya kimbari ya Wapalestina itaanza kusikilizwa mwezi ujao wa Aprili.
-
Ombi la jamii ya Shia wa Afghanistan kwa kundi la Taliban
Mar 15, 2024 22:52Wawakilishi wa jamii ya Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Afghanistan wamewasilisha mapendekezo yao ya maandishi kwa Mohammed Abdul Kabir, naibu wa masuala ya kisiasa wa Waziri Mkuu wa utawala wa Taliban.
-
Jaribio la Marekani eti la kusimamisha vita huko Gaza, mbinu ya kugeuza maoni ya umma
Mar 15, 2024 12:55Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amezungumzia matukio ya hivi karibuni katika eneo la Asia Magharibi hususan Ukanda wa Gaza na kueleza kuwa hakuna anayeamini madai ya Washington ya kujaribu kusimamisha vita vya Gaza.
-
Rais wa Ufaransa adai nchi yake haitochukua hatua yoyote ya kuikasirisha zaidi Russia
Mar 15, 2024 06:37Rais wa Ufaransa amedai kuwa nchi yake haitochukua hatua yoyote ya kijeshi ya kuikasirisha na kuiudhi Russia kutokana na vita vinavyoendelea nchini Ukraine.
-
Zoezi la upigaji kura kumchagua rais wa Russia limeanza leo
Mar 15, 2024 04:10Zoezi la upigaji kura wa nchi nzima wa kumchagua rais wa Russia limeanza rasmi leo.
-
Kurefushwa hali ya hatari kitaifa; muendelezo wa mtazamo wa uadui wa Marekani dhidi ya Iran
Mar 14, 2024 23:17Siku ya Jumanne, Rais Joe Biden wa Marekani alirefusha kwa mwaka mwingine mmoja, muda wa hali ya hatari ya kitaifa kuhusu Iran. Tangu 1995, marais wote wa Marekani wamekuwa wakirefusha kila mwaka hali hiyo iliyoanza kutekelezwa kupitia Agizo la Utendaji nambari 12957 dhidi ya Iran.
-
Mataifa masikini bado yanayumba baada ya UVIKO 19
Mar 14, 2024 09:21Ripoti ya Mpango wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa imesema kuwa, mataifa mengi hivi sasa yanarejea katika hali ya kawaida baada ya janga la UVIKO-19, ingawa mataifa masikini zaidi yanazidi kudidimia.
-
Ripota wa UN: Israel imeua watoto wengi zaidi Ukanda wa Gaza miezi mitano iliyopita
Mar 14, 2024 03:40Francesca Alnanese Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina alisema jana katika ripoti kali iliyowasilishwa kwa umoja huo kuwa Israel imeua watoto wengi zaidi katika Ukanda wa Gaza katika kipindi cha miezi mitano iliyopita.
-
Russia: Islamphobia ni aina ya ubaguzi usiyokubalika
Mar 14, 2024 03:34Maria Zakharova Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Russia amesema kuwa Moscow inavihesabu vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu (Islamphobia) kuwani aina ya ubaguzi isiyokubalika.