-
Jumuiya ya kimataifa yahimizwa kuzidisha juhudi maradufu ili kuwasaidia wakimbizi wa Rohingya
Mar 14, 2024 03:28Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) na washirika wengine wa masuala ya kibinadamu jana waliitaka jamii ya kimataifa kuzidisha juhudi maradufu ili kuwalinda na kuwasaidia wakimbizi wa Rohingya na wenyeji wao.
-
Le Point: Marekani ilichunguza fikra ya kutengeneza bomu linalogeuza jeshi la adui kuwa mashoga
Mar 13, 2024 23:04Gazeti la Le Point limeripoti kuwa, katika miaka ya 1990, wahandisi wa Jeshi la Marekani walifikiria kutengeneza bomu la kemikali lenye lengo la kusambaza mada ambayo itawafanya watu kuwa mashoga na kuingiliana kinyume na maumbile.
-
Mazoezi ya pamoja kati ya Iran, Uchina na Russia katika Bahari ya Oman
Mar 13, 2024 23:02Kufanyika mazoezi ya pamoja ya majeshi ya majini ya Iran, China na Russia katika Bahari ya Oman kunaonyesha kuimarika ushirikiano wa kimkakati wa kijeshi na kiulinzi kati ya nchi hizi tatu muhimu duniani.
-
Vladimir Putin: Russia iko tayari kwa vita vya nyuklia
Mar 13, 2024 07:30Rais Vladimir Putin wa Russia amesema kuwa, nchi yake iko tayari kutumia silaha za nyuklia ikiwa kutakuwepo tishio kwa serikali na uhuru wake.
-
Wajumbe wa Baraza la Seneti wamtaka Biden aache kuipatia Israel msaada wa silaha
Mar 13, 2024 07:16Wajumbe wa Baraza la Seneti la Marekani wamemuandikia barua Rias wa nchi hiyo Joe Biden wakimtaka aache kuipatia silaha Israel ambayo imekuwa ikifanya mauaji dhidi ya raia katika Ukanda wa Gaza huko Palestina.
-
Malaysia: Tunaunga mkono kwa dhati Muqawama wa Palestina dhidi ya uvamizi wa Israel
Mar 12, 2024 23:17Waziri Mkuu wa Malaysia amesema anaunga mkono kwa dhati Muqawama wa makundi ya Wapalestina dhidi ya mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Intelijensia ya Marekani: HAMAS itaendelea kutoa changamoto kwa Israel kwa "miaka kadhaa"
Mar 12, 2024 23:16Ripoti ya tathmini ya kiintelijensia iliyotolewa na Marekani imetilia shaka uwezo wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kuifuta Hamas, harakati hiyo ya muqawama ya Palestina huenda ikatoa changamoto "ya muda mrefu" kwa miaka kadhaa kwa utawala huo ghasibu unaokalia ardhi za Palestina kwa mabavu.
-
Kuendelea himaya ya Marekani kwa Israel; kuongezeka mashahidi wa Kipalestina katika anga ya uhaba wa chakula na dawa
Mar 12, 2024 22:40Kuendelea jinai za utawala wa Kizayuni katika kivuli cha uungaji mkono wa Marekani kwa utawala huo na kufungwa njia za kufikisha misaada na kuingia chakula na dawa katika Ukanda wa Gaza kumesababisha kuongezeka la idadi ya mashahidi wa Palestina.
-
Elneny azindua chumba cha kwanza cha Swala katika uwanja wa Arsenal
Mar 12, 2024 02:44Nyota wa timu ya taifa ya Misri, Mohamed Elneny, na mchezaji wa timu ya soka ya Uingereza ya Arsenal, amezindua chumba cha kwanza cha Swala kwa ajili ya wachezaji wa Kiislamu kwenye Uwanja wa Emirates uliopo katika mji mkuu wa Uingereza, London, suala litakalowawezesha kusali na kuabudu katika eneo hilo katika mwezi wa huu wa Ramadhani ulioanza jana Jumatatu, nchini Uingereza.
-
Gazeti la Russia: Washington na London zinaendesha "vita kipofu" dhidi ya Yemen
Mar 11, 2024 04:21Gazeti la Russia la Izvestia lilithibitisha kwamba Wamarekani na Waingereza hawana taarifa za kijasusi katika kampeni yao dhidi ya kundi la Ansarullah katika Bahari Nyekundu, na kwamba wataalamu wa kijeshi wa Marekani awali hawakuwa na ujuzi wa aina yoyote kuhusu uwezo wa wapiganaji hao shujaa wa Yemen.