-
Sisitizo la Rais wa Chile na Waziri Mkuu wa Uhispania la kutekelezwa usitishaji vita haraka huko Ghaza
Mar 11, 2024 04:17Waziri Mkuu wa Uhispania na Rais wa Chile, pamoja na kulaani mashambulizi ya jeshi la Israel huko Ghaza, wametaka kusitishwa mara moja mapigano hayo.
-
Baadhi ya Waislamu waanza funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani
Mar 11, 2024 01:14Baadhi ya mataifa ya Kiislamu Jumatatu ya leo yameanza funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Biden atoa kauli za kugongana kuhusu mstari mwekundu wa Washington kwa Israel
Mar 10, 2024 08:21Katika matamshi yanayokinzana na kugongana, Rais wa Marekani amelitaja shambulio la Israel dhidi ya Rafah, kusini mwa Gaza, kuwa ni "mstari mwekundu" ambao haupaswi kuvukwa, lakini wakati huo huo amesema kwamba, hana mstari mwekundu katika kuuunga mkono utawala wa Kizayuni na kwamba ni muhimu sana kuulinda utawala huo.
-
Sanchez: Nitapendekeza kwa Bunge la Uhispania kutambua rasmi nchi huru ya Palestina.
Mar 10, 2024 06:55Waziri Mkuu wa Uhispania, Pedro Sanchez, ametangaza kwamba atapendekeza Bungeni kupiga kura ya kuunga mkono suala la kutambuliwa taifa la Palestina hadi kufikia mwisho mwa muhula wake, mnamo 2027.
-
Katibu Mkuu UN: Mwezi wa Ramadhani ni fursa ya kumaliza migawanyiko duniani
Mar 10, 2024 03:08Wakati Waislamu duniani kote wakiwa wanatazamia kuanza mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres ametaka kipindi hiki kitumike kumaliza migawanyiko, kusaidia wenye mahitaji na kufanya kazi kwa pamoja kwa usalama na utu wa kila mkazi wa dunia hii.
-
Volker Türk: Upanuzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni ni jinai ya kivita
Mar 09, 2024 23:20Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, upanuzi wa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika maeneo ya Wapalestina ni jinai ya kivita.
-
Mtaalamu wa UN: Mpango wa Biden wa kujenga bandari Ghaza ni wa 'maonyesho' ya uchaguzi
Mar 09, 2024 03:50Mtaalamu wa Umoja wa Mataifa wa Haki amepuuzilia mbali mpango wa Rais wa Marekani wa kuanzisha bandari inayodaiwa kuwa na lengo la kuwezesha kuingizwa misaada katika Ukanda wa Ghaza, ulioteketezwa kwa vita vya mauaji ya kimbari vya utawala wa Kizayuni wa Israel vikungwa mkono kwa hali na mali na serikali ya Washington.
-
Mwendesha Mashtaka wa ICC atuhumiwa kuonyesha undumilakuwili wa wazi kuhusiana na Ghaza
Mar 08, 2024 23:27Shirika la kutetea haki za binadamu la Euro-Med Human Rights Monitor (Euro-Med) limesema Karim Khan, Mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) ameonyesha "undumilakuwili" katika kukabiliana na uhalifu wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina huko Ghaza.
-
Msemaji wa Rais wa Russia: Iran ni mfano wa wazi wa nchi inayoendelea ikiwa imewekewa vikwazo
Mar 08, 2024 07:07Msemaji wa ofisi ya rais wa Russia ameitaja Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa ni mfano wa wazi wa nchi inayoendelea ikiwa imewekewa vikwazo.
-
Biden ajitoa kimasomaso: Maafa ya sasa ya vifo vya raia Ghaza ni makubwa zaidi kuwahi kutokea huko
Mar 08, 2024 06:51Rais Joe Biden wa Marekani hatimaye amekiri kuwa hali isiyo ya kawaida na ambayo haijawahi kushuhudiwa ndiyo inayotawala katika vita vya kinyama vinavyoendelezwa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Ukanda wa Ghaza uliowekewa mzingiro.