-
Marekani yafanya kimya kimya mauzo 100 ya silaha kwa Israel
Mar 08, 2024 00:10Ripoti mpya imefichua kuwa, Marekani imeidhinisha kimya kimya mauzo 100 ya silaha kwa Israel tangu utawala huo wa Kizayuni uanzishe vita vya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza Oktoba 7, 2023.
-
Umoja wa Mataifa: Mwaka 2023 ulikuwa mbaya kwa wahamiaji
Mar 07, 2024 22:51Ripoti ya Shirika la Wahamiaji la Umoja wa Mataifa, (IOM) imeutaja mwaka 2023 kuwa mwaka mbaya zaidi kwa wahamiaji katika kipindi cha muongo mmoja.
-
Walimwengu leo wanaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake
Mar 07, 2024 22:51Dunia leo tarehe 8 Machi inaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake ikiwa ni kampeni ya kila mwaka ya Umoja wa Mataifa ya kuhamasisha juhudi za kuleta usawa wa kijinsia duniani kote.
-
China yaunga mkono Palestina kuwa mwanachama kamili wa Umoja wa Mataifa
Mar 07, 2024 08:34Waziri wa Mambo ya Nje wa China amesema nchi yake inaunga mkono Palestina kupewa uanachama "kamili" wa Umoja wa Mataifa na kuongeza kuwa takwa la muda mrefu la watu wa Palestina la kuanzisha nchi yao huru haliwezi kuepukika tena.
-
Chuki dhidi ya Waislamu zimeongezeka Japan tangu Israel ilipoanza kuishambulia kijeshi Ghaza
Mar 07, 2024 08:30Mwanaakademia wa Kijapan, Kayyim Naoki Yamamoto amesema, hisia za chuki dhidi ya Waislamu nchini Japan zinaongezeka tangu utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ulipoanzisha vita vya kikatili na mashambulio ya kinyama dhidi ya Ukanda wa Ghaza Oktoba 7, 2023.
-
Russia: Nchi za Magharibi zinacheza na moto katika ardhi ya Ukraine
Mar 07, 2024 03:22Serikali ya Russia imetoa onyo kali kwa madola ya Magharibi na kusema kuwa, baadhi ya mataifa ya Magharibi yanacheza na moto kwa kujadili wazo la kutuma wanajeshi wao nchini Ukraine.
-
Rais wa Brazil ataka kuundwa nchi huru ya Palestina
Mar 06, 2024 08:12Rais Lula da Silva wa Brazil kwa mara nyingine tena ametangaza himaya na uungaji mkono wake kkwa taifa la Palestina na kusisitiza juu ya kuundwa nchi huru ya Palestina.
-
Afisa wa FAO: Ulaya yakabiliwa na upungufu wa chakula huku bei zikiongezeka kimataifa
Mar 06, 2024 04:04Afisa wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) ametanagza kuwa matukio yanayojiri katika Bahari Nyekundu na katika mlango bahari wa Bab Al-Mandab yameathiri biashara ya chakula duniani na kusababisha ongezeko la bei kimataifa.
-
Kinara wa genge la uhalifu Haiti atahadharisha kuhusu vita vya ndani iwapo Waziri Mkuu hatajiuzulu
Mar 06, 2024 03:57Jim Cherizier kiongozi wa kundi la uhalifu nchini Haiti anayedaiwa kuhusika na jaribio la kumpindua Ariel Henry Waziri Mkuu wa nchi hiyo ametahadharisha juu ya uwezekano wa nchi hiyo kutumbukia katika vita vya wenyewe kwa kwenye iwapo Henry hatajiuzulu.
-
Medvedev: Hakika Ukraine ni sehemu ya Russia, inapasa irudi nyumbani
Mar 06, 2024 00:07Dmitry Medvedev, Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Usalama wa Taifa la Russia, amesema Ukraine ni sehemu ya nchi hiyo na amefutilia mbali suala la kufanya mazungumzo ya amani na uongozi wa sasa wa Ukraine.