-
Indhari ya asasi za kimataifa kuhusu kushtadi njaa na umasikini nchini Afghanistan
Mar 05, 2024 22:44Kupungua kwa misaada ya kimataifa nchini Afghanistan kumepelekea kushadidi umaskini na njaa katika nchi hiyo.
-
Ghasia zashadidi Haiti, waziri mkuu hajulikani aliko baada ya safari yake Kenya
Mar 05, 2024 07:33Majirani wa Haiti wameanza kuimarisha ulinzi wao na kuwarejesha nyumbani wafanyakazi wa balozi zao huku ghasia za magenge katika taifa hilo la Karibea zikiongezeka "kwa kiasi kikubwa," wakati ambao waziri mkuu wa nchi hiyo aliyekuwa safarini Kenya hajulikani yuko wapi.
-
Ripoti ya UN: Israel inawatesa vikali wafungwa Wapalestina
Mar 05, 2024 07:24Ripoti ya Umoja wa Mataifa imewatuhumu wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuwatesa kinyama raia Wapalestina katika Ukanda wa Gaza, wakiwemo wanawake na wanaume. Wapalestina hao walioteshwa vikali ni wale waliotekwa katika vita vya mauaji ya kimbari vya utawala wa Israel dhidi ya Gaza.
-
Kuongezeka uungaji mkono wa wananchi wa Marekani kwa Wapalestina
Mar 05, 2024 04:12Matokeo ya uchunguzi wa maaoni uliofanywa na jarida la Wall Street Journal yanaonyesha kuwa, wananchi wengi wa Marekani hawaridhishwi na utendaji kazi wa Rais Joe Biden katika vita vya Gaza.
-
Papa Francis atoa wito wa kusitishwa mapigano mara moja huko Gaza
Mar 04, 2024 08:14Kiongozi wa Wakatoliki duniani ametoa wito wa kusitishwa mara moja mapigano katika Ukanda wa Gaza, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Mamia ya maelfu waandamana barani Ulaya wakitaka kusitishwa vita Gaza
Mar 03, 2024 22:59Mamia ya maelfu ya watu jana waliandamana katika barabara za miji mikuu ya nchi mbalimbali za Ulayakwa wakitaka kusitishwa vita vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Gaza haraka iwezekanavyo; huku idadi ya vifo katika eneo hilo ikipindukia 30,000 kufuatia mashambulizi ya Israel tangu Oktoba 7 mwaka jana.
-
Russia yatungua makumi ya droni za Ukraine
Mar 03, 2024 22:58Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa imezidhibiti na kuzitungua ndege kadhaa zisizo na rubani za Ukraine (Droni) katika Peninsula ya Crimea.
-
Ulimwengu wa Spoti, Machi 4
Mar 04, 2024 03:50Natumai hujambo mpenzi msikilizaji. Karibu tuangazie baadhi ya matukio muhimu ya michezo yaliyoshuhudiwa ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa, kieneo na kimataifa.....
-
Mamia waandamana nje ya ubalozi wa Israel, Washington kulaani vita Gaza
Mar 03, 2024 04:10Mamia ya watu wamefanya maandamano mbele ya ubalozi wa Israel mjini Washington, Marekani kulaani vita vya mauaji ya kimbari vinavyoendelezwa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
EU yaikosoa Israel kwa kuzuia misaada ya kibinadamu Gaza
Mar 03, 2024 04:09Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amekosoa hatua ya utawala haramu wa Israel ya kuzuia kuingizwa na kusambazwa misaada ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza.