-
Kallas: Estonia inaipiku Marekani katika uhuru wa kujieleza
Feb 16, 2026 06:41Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya, Kaja Kallas amepuuzilia mbali ukosoaji wa Washington kuhusu mbinyo wa kutoa maoni katika nchi wanachama wa umoja huo, akisisitiza kwamba nchi yake ya asili ya Estonia ina uhuru mkubwa zaidi wa kujieleza kuliko Marekani.
-
Je, China ina msimamo gani kuhusu hatua mpya za utawala wa Israel katika Ukingo wa Magharibi?
Feb 16, 2026 00:05China sambamba na kuashiria kuidhinishwa kanuni mpya na baraza la mawaziri la usalama la Israel ili kuimarisha udhibiti wa Ukingo wa Magharibi, imeonya kuhusu matokeo mabaya ya hatua hiyo.
-
Kutoka Kongamano la Usalama hadi "Sarakasi ya Munich"; Msimamo wa Iran Kuhusu Matukio ya Ulaya
Feb 15, 2026 04:48Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa: Ni jambo la kusikitisha kuona kwamba Kongamano la Usalama la Munich ambalo kwa kawaida huzingatiwa kuwa tukio muhimu na lenye hadhi kubwa, limegeuka kuwa "sarakasi ya Munich" kuhusu masuala ya Iran.
-
China: Tofauti kati ya Iran na Marekani zinapaswa kutatuliwa kupitia mazungumzo
Feb 14, 2026 23:19Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa China amesisitiza kuwa, tofauti kati ya Iran na Marekani zinapaswa kutatuliwa kupitia mazungumzo na upatanishi, na akaonya kwamba mvutano kati ya nchi hizo mbili unaweza kuathiri moja kwa moja amani na utulivu katika Asia Magharibi.
-
Mbunge wa Kongresi: Marekani iliwezesha mauaji ya halaiki Ukanda wa Gaza
Feb 14, 2026 23:19Mbunge wa chama cha Democratic katika Kongresi ya Marekani amesema kuwa, msaada wa kijeshi wa Marekani kwa Israel "usio na masharti" uliwezesha mauaji ya halaiki huko Gaza," akibainisha kuwa maelfu ya wanawake na watoto waliuawa katika matukio ambayo "yangeweza kuepukwa kabisa."
-
Ubepari na ukosefu wa utulivu wa kijamii
Feb 14, 2026 23:18Uhusiano kati ya ubepari na ukosefu wa utulivu wa kijamii ni mojawapo ya mada muhimu katika uwanja wa sayansi za jamii.
-
Je dunia kweli imekubali uongozi wa Marekani?
Feb 14, 2026 07:12Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa amedai dunia imekaribisha nafasi ya uongozi wa Marekani.
-
Reuters: Duru ya pili ya mazungumzo ya Iran na Marekani itafanyika Jumanne, Geneva
Feb 14, 2026 06:26Shirika la habari la Reuters limenukuu chanzo kimoja na kutangaza kuwa ujumbe wa Marekani unaojumuisha Steve Witkoff na Jared Kushner, utakutana na maafisa wa Iran mjini Geneva, Uswisi siku ya Jumanne wiki hii.
-
BNP kutangaza serikali mpya ya Bangladesh Jumapili, kuitaka India imrudishe Hasina
Feb 14, 2026 06:25Chama cha Taifa cha Bangladesh (BNP) kimetangaza kuwa kitaunda serikali mpya ifikapo kesho Jumapili, baada ya kupata ushindi wa kishindo wa theluthi mbili ya viti vya Bunge katika uchaguzi wa kwanza kufanyika nchini humo tangu mapinduzi ya Julai 2024 yaliyoing'oa madarakani serikali ya aliyekuwa waziri mkuu Sheikh Hasina.
-
Guardiola awatetea wahamiaji akijibu matamshi ya kibaguzi ya mmiliki wa Manchester United
Feb 14, 2026 02:27Meneja wa timu ya Manchester City, Pep Guardiola, amejibu maoni ya mmiliki wa Manchester United, Sir Jim Ratcliffe kuhusu uhamiaji, akisema kwamba kuna haja ya "kukumbatia tamaduni zingine ili kuifanya jamii iwe bora."