-
Guardiola ajibu mapigo dhidi ya Baraza la Wayahudi, apinga tena mauaji ya watu wasio na hatia huko Gaza
Feb 07, 2026 03:54Meneja wa timu ya Manchester City, Pep Guardiola aliisisitiza jana Ijumaa kwamba atapaza sauti yake waziwazi wakati wowote "watu wasio na hatia wanapouawa" popote pale duniani, akijibu ukosoaji wa Baraza la Wawakilishi wa Jumuiya ya Wayahudi la Jiji la Manchester nchini Uingereza.
-
Trump anakabiliwa na tuhuma za ubaguzi wa rangi baada ya kuchapisha video inayomuonyesha Obama na mkewe kama nyani
Feb 07, 2026 02:17Rais wa Marekani, Donald Trump, amezua hasira katika duru za kisiasa baada ya kurusha mkanda wa video kwenye jukwaa lake la "Truth Social" akitangaza nadharia za njama za uchaguzi ikiwa na kile kilichoelezwa kuwa maudhui ya "ubaguzi wa rangi" yanayomuonyesha Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama na mkewe, Michelle kama nyani.
-
ISIS yasema imehusika na shambulio lililoua makumi wa Waislamu dhidi ya msikiti, Islamabad
Feb 07, 2026 01:49Kundi la kigaidi la Daesh limetangaza kuwa limehusika na shambulio lililolenga msikiti wa Waislamu wa madhehebu ya Shia wa Khadijatul Kubra mjini Islamabad huko Pakistan na kuua makumi ya watu wakati wa Swala ya Ijumaa.
-
Waziri Mkuu wa Uhispania: Lazima serikali iwalinde watoto na 'sumu' ya mitandao ya kijamii
Feb 06, 2026 23:13Waziri Mkuu wa Uhispania Pedro Sanchez amesema, nguvu ya serikali ipo kuzilinda demokrasia na "mashambulizi zinayopata" na kuwalinda watoto na vijana na "ulimwengu wenye madhara makubwa, usioadhibiwa" ambavyo ndivyo imekuwa mitandao ya kijamii hivi sasa.
-
Kwa nini China inalenga kuibadilisha Dola kwa Renminbi (Yuan) katika kiwango cha kimataifa?
Feb 06, 2026 09:00Rais wa China, Xi Jinping, ametoa wito wa kuifanya Renminbi (Yuan), sarafu ya taifa hilo, kuwa sarafu ya akiba ya dunia.
-
Tabibu wa viungo: Huenda Trump akawa amebakiwa na miaka 2 hadi 4 tu ya kuishi
Feb 06, 2026 06:40Mtaalamu wa tiba ya viungo Adam James, amezungumzia baadhi ya harakati na alama za kimwili za Donald Trump na kutahadharisha kwamba, huenda rais huyo wa Marekani asiishi zaidi ya miaka miwili hadi minne tu ijayo.
-
Trump apinga wito wa Putin wa kurefusha muda wa Mkataba wa New START
Feb 06, 2026 02:52Rais wa Marekani, Donald Trump amepinga pendekezo la Rais wa Russia, Vladimir Putin la kuongezwa kwa khiari muda wa Mkataba wa New START, unaoweka mipaka ya silaha za nyuklia, ambao muda wake ulimalizika jana Alkhamisi.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Brazil: Uanzishwe mfumo mpya wa kimataifa kupitia marekebisho ya Umoja wa Mataifa
Feb 05, 2026 22:58Waziri wa Mambo ya Nje wa Brazil, Mauro Vieira, amesisitiza haja ya kuanzishwa mfumo mpya wa kimataifa unaotegemea marekebisho ya mashirika ya kimataifa yaliyopo, ikiwa ni pamoja na Umoja wa Mataifa, Baraza la Usalama la umoja huo na Shirika la Biashara Duniani.
-
UN: ISIS inasasisha mbinu zake na kuzidisha vitishio tangu katikati ya 2025
Feb 05, 2026 22:56Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusu kile ulichokielezea kama ongezeko la vitishio vya kundi la Daesh (ISIS) tangu katikati ya mwaka jana, ukieleza kuwa kundi hilo limekuwa "tata zaidi".
-
Nchi wanachama Watetezi wa Mkataba wa UN zalaani hatua ya EU dhidi ya Iran
Feb 05, 2026 03:37Nchi wanachama wa Kundi la Marafiki Watetezi wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa zimetoa taarifa ambayo imelaani hatua ya hivi karibuni ya Umoja wa Ulaya dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Jeshi Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, IRGC.