-
Wamarekani milioni 42 wako hatarini kukumbwa na njaa kutokana na kufungwa shughuli za serikali
Oct 26, 2025 01:12Takriban Wamarekani milioni 42 wanakabiliwa na tishio la njaa ikiwa kufungwa kwa shughuli za Serikali ya Shirikisho kutaendelea, na iwapo ufadhili wa SNAP utasimamishwa Novemba 1.
-
Je, maafa ya Ghuba ya Nguruwe yatakariri kwa Marekani kuhusiana na mvutano wa sasa na Venezuela?
Oct 25, 2025 22:52Huku uwezekano wa Marekani kuishambulia Venezuela ukiongezeka, kunajitokeza swali kwamba, je hadithi ya Ghuba ya Nguruwe (Bay of Pigs) itakaririwa kuhusiana na Venezuela?
-
Marekani yatuma meli kubwa zaidi ya kivita Amerika ya Kusini; Venezuela yatabiri hatari kubwa
Oct 25, 2025 09:18Marekani imeamua kutuma meli ya kivita ya kubeba ndege, USS Gerald R. Ford , ambayo ndiyo kubwa zaidi duniani, pamoja na meli zingine tano za kivita kwenda Amerika ya Kusini, hatua ambayo imekosolewa vikali na Venezuela ikiitaja kuwa ya kichokozi, hatarishi, na kinyume cha sheria za kimataifa.
-
Iran, Russia, China zamtumia barua mkuu wa IAEA kutangaza kumalizika kwa Azimio 2231 la UN
Oct 25, 2025 09:17Iran, China, na Russia zimemuandikia barua ya pamoja mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la nishati ya nyuklia (IAEA), kuthibitisha kumalizika kwa Azimio la Baraza la Usalama la UN 2231 pamoja na taarifa za shirika kuhusu mpango wa nishati ya nyuklia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Je, chuki dhidi ya Uislamu itazuia ushindi wa meya wa kwanza Muislamu wa New York?
Oct 25, 2025 09:15New York, mji unaojivunia kuwa na tamaduni mbalimbali umekumbwa na wimbi la propaganda chafu na chuki dhidi ya Uislamu katika siku za mwisho za kampeni za uchaguzi wa meya wa mji huo, yaani tarehe 4 Novemba 2025.
-
UN yapinga madai ya waziri wa mambo ya nje wa Marekani kuhusu UNRWA
Oct 25, 2025 01:51Umoja wa Mataifa umepinga taarifa ya waziri wa mambo ya nje wa Marekani aliyedai kiuongo kwamba Shirika la Umoja wa Mataifa la Kusaidia Wakimbizi wa Palestina (UNRWA) lina uhusiano na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, HAMAS.
-
Malaysia yashuhudia maandamano makubwa dhidi ya Israel na Marekani
Oct 24, 2025 23:37Maandamano makubwa yamefanyika nchini Malaysia kuunga mkono wananchi wa Palestina na kulaani himaya ya Marekani kwa Israel na jinai za utawala huo ghasibu katika Ukanda wa Gaza.
-
China na Russia zalaani vikali vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya sekta ya nishati Russia
Oct 24, 2025 06:36Russia imelaani vikali vikwazo vipya vilivyowekwa na Marekani dhidi ya makampuni yake makubwa ya mafuta, ikionya kuwa hatua hizo za Washington zinaweza kuisukuma dunia kuelekea hali ya kutokuwa na utulivu.
-
Mahakama ya ICJ: Israel inapasa kuruhusu misaada ya kibinadamu kuingia Gaza
Oct 23, 2025 07:40Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) imeitaka Israel ijiepushe kutumia sheria zake za upande mmoja maeneo ya Palestina yanayokaliwa kwa mabavu na kuukosoa utawala huo ghasibu kwa kuzuia kufikishwa misaada ya kibinadamu katika eneo lililoharibiwa na vita la Gaza.
-
Maduro atishia kuvurumusha maelfu ya makombora ya Igla-S kukabiliana na vitisho vya Marekani
Oct 23, 2025 02:50Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro, ametangaza kuwa nchi yake inamiliki makombora 5,000 ya kutungulia ndege yaliyotengenezwa Russia ili kukabiliana na vitisho vya jeshi la Marekani na vikosi vyake vilivyotumwa katika visiwa vya Caribbean.